Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

Street Hustler

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,147
4,208
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.

Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
 
Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.

Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.

Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.

Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
 
Kwa hiyo unaamanisha bidhaa zinazoagizwa kutoka nje bei yake haitamuathiri mtumiaji?
Chawa tikisa vizuri kichwa kabla kuandika
 
Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.

Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.

Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.

Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Unasema kama siyo mchumi! Importation na exportation zote zinategea rate hiyo. Hivyo lazima bei za bidhaa zitapanda
 
Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.

Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.

Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.

Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Wewe kweli kilaza ujielewi umeandika utumbo
 
Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.

Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.

Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.

Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Sasa hv tunauhaba wa sukari hvyo tunaagiza kutoka nje, kama mwezi Jana nilinunua sukari nje kwa ajili ya kuiingiza nchini 1kg kwa Tsh 1,800/= Sasa nanunua kwa Tsh 2,500/= hii sio effect ya Moja kwa Moja kwa mwanachi wa kawaida.
 
Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.

Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.

Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.

Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Sikujua kama fedha ya ug iko juu ya tsh
 
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.

Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Source?

Capture+_2024-03-09-12-59-57.png
 
Mwigulu pale hamna kitu.. Anaacha kuweka watu wenye uzoefu wa muda mrefu kwenye sekta za kifedha na uchumi anakuja kuweka wapiga kelele na wabobezi kwenye ushirikina
Unaweza mlaumu Mwigulu mambo mengine ila sio Hela yetu vs Kenya, wakati Mwigulu anachukua hio nafasi ksh 1 ilikua tsh 22, hela ya Tanzania ilipanda sana against kenya na watu wengi Nawafahamu wamepiga pesa ya kutosha kwa kununua vitu kenya.
 
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.

Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Madelu anasema so long as kuna gari nyingi namba E barabarani, harusi zenye nyomi kwa wingi na mnajazana kwenye shopping malls hizo ni alama za uchumi imara.

Hilo la kushuka thamani kwa sarafu si tatizo kwa serikali hii inayotetemekewa kwa furaha na kila mwananchi.

Au siyo ndugu Lucas mwashambwa na ChoiceVariable ?🤣🤪
 
Back
Top Bottom