Women hit men but men can't hit back?
sentensi yako ni tata sana;
Naomba nigongee thanks, (Hope it will be your first hit)
Mwanaume wa ukweli anapigana na mtu anaelingana nae.Kumpiga mwanamke ni uonevu!Women hit men but men can't hit back?
sentensi yako ni tata sana;
Naomba nigongee thanks, (Hope it will be your first hit)
Mimi sijaelewa....mhhh...inaonekana ninahitaji mwl wa kingereza...mhhh!!!
Dena, waweza kunitafsria dear?
Hizo Hit ndo tatizo kunyumbulisha kwenye maana uliyomaanisha maana ina maana lukuki!!Kwahiyo moja niliyoifikiria nikweli kutokana na mazingira yake!!Women hit men but men can't hit back?
Ha ha ha jamaa mchoyo kweli yeye ana 44 yeye hata moja hajatoa....................
Namimi ningongee basi kwa kuwa wapili kucomment kwenye thread yako
Yaani leo tumewezwa kweli thread ni kizungu tupu kuna moja huko umeiona hata title imenishinda. Sijaelewa kabisa
Mimi sijaelewa....mhhh...inaonekana ninahitaji mwl wa kingereza...mhhh!!!
ukiolewa utaelewa tu...ngoja Jaguarpaw aje afafanue
mhhh...mpendwa, yaani nikiolewa ndo ntaweza kuelewa kiiinglish....mhhhh haya bana!!!!
ukiolewa utaelewa tu...ngoja Jaguarpaw aje afafanue
huyu mwanaume mwenzangu sasa kama yeye hawezi hata kutoa thanks, kweli ataweza ku-hit back..mwanamke anapigwa na upande wa kitenge mkuu (any way ni misemo ya sisi vijana wa zamani)
Kutokana na maelezo yako kwenye hii comment, ndo napata mwanga kidogo alikuwa anasema nin.......
kama walivyojibu wengine,namaanisha ngumi/kibao/teke and whatever,mtendaji akiwa mwanamke dhidi ya mwanaume.