Why women think ALL MEN ARE SAME? Its bcoz . . . .

. . . . the only reason women think all men are the same is bcoz sometimes BOYZ pretend to be MEN

Gdnyt JF

CPU .....ze quote means all men are after issues (eating issuez). UKWELI NI KWAMBA........ WANAUME HATUSHIBI UJI.
 
Inawezekana my dear, lakini mi ndivyo ninavyofikiria tu juu ya wanaume! Kwamba kwa factor hiyo Baba yao ni mmoja. Wanafanana!!

i dont want to agree with you!!.. there are good men out there!! si lazima samaki mmoja akioza wote wameoza!! dont want to believe thhis
 
i dont want to agree with you!!.. there are good men out there!! si lazima samaki mmoja akioza wote wameoza!! dont want to believe thhis

Sure kanyagio, that is me!!
May be ni kwa sababu nimekuta na wa jinsi hiyo!!
Siku nikikutana na watofauti nadhani nitabadilika.
 
Naona wanawake wengi wanaochangia hapa wameumizwa

We si unamuona yule HATOSHEKI kaleta sredi ya kuachwa siku 3 tu baada ya kumtamani mume wa jirani. Yaani hawatosheki kweli kweli hawa viumbe
 
Back
Top Bottom