Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
najua umeshakumbuka vizibo na supu ya kuku wa kienyeji... haya bwana wahi foleni!!!
Hahaha! Umejuaje nawe?
najua umeshakumbuka vizibo na supu ya kuku wa kienyeji... haya bwana wahi foleni!!!
itabidi tufanye mazungumzo ya faragha, maana ukiona mtu mzima analia ujue maji yamemfika masikioni!!!!Muhanga nilikwambiaje?Nikupe wa kwangu ukae nao?
Na miss sana vitu vya Cape town pale maana tulirusha sana roho.
tWIN IVI MSAMAHA WANGU HAPO JUU HUJAONA?
Tih tih tih,bora self denial tuu!!!!You justify your crying behavior by sweet words eeh?
eeeh mae kumbe umeniomba msamaha!!! mwe hata kabla sijaliona hilo nilisha kusamehe twinushka wangu.......
kwani alikufanyaje B nimchape fimbo? sipendi watu wakuchokoze