Baadhi ya sababu ni hizi..I had time to talk with Some TTCL members/staff in previous time and were not happy that TTCL is not leading. TTCL is the first company to have the biggest network web ever in Tanzania (I believe it still leads). TTCL have independent Internet gateway, TTCL mobile, the news goes on saying, was planned to release its cheapest mobile service in form of TTCL mobile but its release was late and hence missed the business timing....TTCL was tricked into producing enemy of its own by its own costs, that is Celtel then Zain then Airtel Tz.
Let us discuss, why is TTCL not leading, who are marring it to the current status and what should be done. I hope there are TTCL members here to make it hot for the good of TZ
Baadhi ya sababu ni hizi..
1. Site yao moja ikizima, itachukuwa muda mrefu sana kuirudisha hewani na hii inatoka na yafuatayo
Engineers hawana magari....ni kwamba gari analo dereva, mafuta anasaini bosi, hivyo dereva akishapatikana anatakiwa aanze kukimbizana na sahihi za kupata mafuta, na baada ya hapo amtafute Engineer aliko ndipo waende site. Huo mlolongo unamaana down ni ndefu sana. Hawa TTCL walikuwa wanapata sana hela toka other mobile operators, lakini sababu hiyo hapo juu imewafanya hawa jamaa wajenge minara yao kwa ajili BACKBONE FROM ONE REGION TO THE OTHER.
2. Kutokwenda na wakati......TTCL walikuwa wanatumia SDMA kwenye mobile network yao, wakati mida hii watu wapo kwenye GSM ndani ya 3G
3. Urasimu.........Hebu niambie ilikuwa inachukuwa muda gani tangu kuomba kufungiwa simu hadi kuipata..??? Utapanga foleni utafikiri unahitaji kulazwa hospitali.
4. TTCL ina wazee wengi............ Unajuwa kuna teknolojia zinahitaji damu changa............ Mambo ya kuficha manual ili washindwe ili nawe uonyeshe umaarufu yamepitwa na wakati. Umaarufu unapatikana kwa kuchapa kazi na si kuficha informations..
Hayo ni machache...............
yup! Niliambiwa na moja ya staff kuwa hata TTCL mobile ilicheleweshwa kwa makusudi ili kampuni nyingine zisiende mrama maana ingekuwa cheap sana. Je inawezekana uongozi wa juu kuna mapandikizi yaliyopo kwa interest ya kampuni nyingine?
Hata wafanyakazi wa chini hawapo motivated sana! So what should we do ili tuiokoe kampuni yetu?
Kwa msio jua, ni afadhali msiendelee kujua; ila mambo ni kama hivi,
- Wakati Mobitel inaingia TTCL ilikuwa na share mle kama asilimia 40. Baadaye serikali ikazibeba. Walichofanya na hizo hisa hakijulikani, ila leo serikali haina hisa Tigo
- Mwaka 1999 TTCL iliamua kuanzisha mradi wake wa simu za Mkononi (kwa fedha zake), wakati huo ilikuwepo Tigo na Tritel peke yake. Serikali kupitia TCRA wakauzuia mradi huo kwa madai kuwa kampuni iko kwenye mchakato wa ubinafsishaji - Mwaka 2000 Vodacom wakaingia.
- Mwaka 2001 akaingia Mbia kwa madai ya kununua asilimia 35 kwa Dola million 120. Akaishia kupewa hizo hizo kwa dola million 65.
- Mbia huyo akatumia leseni ya biashara za simu za mikononi ya TTCL (mradi ulisimamishwa haukufutwa) kuanzisha celtel Tanzania, TTCL ikawa imenyang'anywa rasmi uwezo wa kufanya biashara za simu za mikononi, si kwa sababu ya uwezo wa watendaji, sababu ya uamzi wa mezani (serikali)
- Celtel international (aliyekuwa na hisa ndani ya TTCL) ndo akaanzisha Celtel Tanzania ikiwa kama subsidiary company ya TTCL
- Baadaye TTCL ikanyang'anywa shea zote ndani ya Celtel, zikahamishiwa hazina, TTCL ikabaki haina shea na haina biashara ya simu za mkononi na ikazuiwa kuanzisha ya kwake kwa sababu masharti ya leseni hayakuiruhusu kuanzisha
- Mwaka 2005, serikali ikaondoa masharti ya leseni, ila mbia mwingine wa serikali; Celtel international (ambaye sasa ni mshindani wa TTCL - lakini akiwa na share ndani ya TTCL) akakataa TTCL isijiingize kwenye biashara ya simu za mikononi.
- Wafanyakazi wazalendo ndani ya TTCL wakaamua kuingiza biashara hizo kwa mgongo wa nyuma, ndivyo ilivyoingia TTCL Mobile na Technolojia ya CDMA. Hawa wazalendo waliidanganya bodi kuwa wanaingiza CDMA kufanya fixed wireless (WLL) ila kwa siri wakanunua full mobile solution. Bodi ingejua isingiruhusu asilani.
- Hata hivyo baadaye bodi iligundua kuwa kilichoingia ni Mobile si WLL. Ikaamua kuzuia uwekezaji zaidi katika mradi huo, hivyo TTCL mobile ikashindwa kujitanua kama ilivyotarajiwa.
- Mwaka 2007, serikali ikaleta menejinti nyingine ya wazungu, kutoka Canada. Hawa walivyokuja wakaiambia serikali tiba ya TTCL ni kuuendeleza ule mradi wa TTCL mobile ulioanzishwa na wazalendo. Serikali ikakubali, lakini ikishirikiana na Celtel international (wakati huo Zain) wakazuia TTCL kukopa kwa ajili ya kuuendeleza mradi wa TTCL Mobile - Kwa hiyo mradi ukabaki bila kuendelezwa.
- Mwaka 2009, baada ya kusuguana sana na serikali kuhusu kuendeleza mradi huo (serikali na Zain wakikataa), wa Canada waliamua kujitoa rasmi wakaondoka mwezi July 2009.
- Toka hapo ni dana dana tu. Serikali wanashangaa kwa nini TTCL haifi? Wao wanataka ife, wauze mbao! Menejimenti ya wazalendo na wafanyakazi wao, wanapambana kulinda ajira zao. Ila serikali kwa kushirikiana na Zain (sasa airtel) wanataka hiyo kampuni ife, waipeleke kwa mufilisi ili viongozi wa serikali wajichotee masalia (TTCL inazo mali nyingi sana - Ikiwemo majengo, viwanja katika maeneo muhimu katika miji yote ya Tanzania, n.k.)
- Ni dharau kwa watanzania kuwasema vibaya wafanyakazi wa TTCL, ni kampuni ngapi zingeweza kuhimili hujuma kutoka kwa wamiliki wake? Ni wafanyakazi pekee wanojua kuwa wanaohujumiwa pale ni watanzani, si wafanyakazi wa TTCL!! Watanzania ndo wenye mali serikali ni msimamizi tu.
- Serikali dhaifu inashirikiana na matapeli wa nje kuhakikisha hii kampuni itakufa. TTCL ikifa, atakayenufaika ni watendaji wa serikali waliokaa mkao wa kula, wakisubiri kujichotea ma properties yatakayotelekezwa. Atakayenufaika ni Makampuni ya nje yatakayojichukulia biashara kubwa ambazo bado TTCL inazo.
- TTCL ikifa atakayeumia ni mtanzania atakayekosa kazi. Mapato ya serikali yatashuka kwani TTCL pamoja na hali yake bado ni mlipa kodi mkubwa (waulize TRA watakuambia). TTCL hawafanyi lolote kukwepa kodi. Kodi zote za serikali wanalipa bila matatizo (bado wanalipa kodi kubwa kuliko makampuni mengi ya simu yanayokwepa kulipa kodi). Kushuka kwa mapato ya serikali kutawaumiza watanzania, si wawekezaji kutoka nje.
- Ni vizuri tuujue ukweli, kwani ukweli utatuweka huru!
- ASANTE SANA KWA MAELEZO YENYE MAANA NA YAMENIFUNGUA KWELI MAANA NILIKUWA SIJUI BAADHI YA VITU.WE NEED TO PROTECT OUR TTCL
thatha njoo na huku!
MKAPA kainajisi sana hii nchi maana karibu mikataba mibovu na mambo machafu yote pamoja na hili la TTCL yametokea ndani ya uongozi wake,inaniuma sana yaani sisi tunaishi kwa shida halafu kuna watu wanaishi kama peponi,na huyu bwana mkubwa wa msoga ndio anajiwahia kumaliziamaliziaTTCL ilikuwa na mali nyingi sana wakati inabinafsishwa. Ni pamoja na nyumba za wafanyakazi zilizoko kwenye strategic areas. Baada ya ubinafsishaji nyumba hizo ziliuzwa kama njugu kwa bei za kutupwa kwa kupitia kampuni iliyokuwa inaongozwa na Peter Maro wakati ule ya Simu 2000. Nyingi ya nyumba hizi wamejiuzia viongozi wa serikali. TTCL ilikuwa na shares katika jengo la International House wakati ule lilipojengwa. Share hizi sasa hivi haziisaidii TTCL tena. Sina hakika kama zimehamishiwa Hazina au zimechukuliwa na mafisadi. TTCL ina mali zake ambazo wala haziwasaidii wao ila watu wengine.