Why some women stay single

Mademu mbona wanazimika sana nyoya kama hilo inawapa urahisi si lazima ahangaike kuzifuata maeneo.Na tukija kwenye suala la msingi kwani hizo nyele ndo zinamega?
Let him enjoy bana!
 
Mazee hiyo ni real thing, jamaa anahitaji jembe la palizi aisee!!! cha kuchekesha zaidi, eti na yeye ame-shave kichwani!!!

Faidi uikute hiyo njemba imegaragazwa kwenye tope na hizo ngano mwilini

LOL!!


Hii picha inanitia shaka, kuna sehemu ukizitizama ni nyeupe zaidi ya sehemu nyingine za mwili, angalia sikio, vidole na pale juu kidogo ya makalio. Hii tofauti ya rangi sehemu moja kuwa dark na nyingine kuwa nyeupe inaonyesha makeup imetumika na kisha manywele bandia ya kiwandani yakabandikwa mwili mzima.
 
Mhhh hapo haolewi mtu...!

6036d1254130057-a-image001.jpg

Garden love mwili mzimaaaaaaaaaaa!!!lol
 
Back
Top Bottom