Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
System needs to be overhauled. The current system benefits some individuals who are willing to die defending it. Kiongozi atakayekuja na agenda ya kubadili system ndo atakuwa kiongozi bora kwa Tanzania kuliko yoyote yule. Tuache kufanya kazi kwa mazoea. Tuache kupendeleana na kuheshimu uwezo wetu, nidhamu, ubunifu na kujituma. Hatuwezi kufika popote kama tunaenda hivi tunavyokwenda maana tunajidanganya na hakuna mtu mwongo anayeidanganya nafsi akabaki salama.
Uongozi uliopo haujaweza kubadili namna tunavyofanya kazi ndo maana tunashuhudia matatizo haya tunayoyaona.
Uongozi uliopo haujaweza kubadili namna tunavyofanya kazi ndo maana tunashuhudia matatizo haya tunayoyaona.