Why Do Ladies No Longer Play Hard To Get?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Have you notice that ladies are getting cheaper and easy to get these days. Maybe gays turn to spoil market or its just end time. What do u think?

man.jpg
 
What dey want?

Whatever they r looking in a man! They have other things which require their time n energy why wasting by playing hard to get. Au hujui wengine tunawafuata wenyewe wanaume ambao tuna interest nao?

What l am getting from ur Uzi ni kuwa:-
Gays mnakuwa annoyed na trend ya sasa hivi, kwani zamani mlikuwa na advantage ya kuwa karibu na real Men (in all sense) na mkaweza kuwa trap into ur 'business' sasa now wanawajua na wale straights wanawaavoid kama ukoma! Mkiwainvite hata drink tu, wanawatolea nje coz they kinda get disgusted!
 
sasa na wewe ulitaka waringe ili iwaje? wacha wawe wanatoa mzigo kirahisi...watu wana mambo ya muhimu ya kufanya zadi ya kucheza hard to get...kwanza walisha janjaruka na kuona ata ukiplay hard to get bado jamaa ata cheat tuu...sasa ya nini longo longo just have fun!!!
 
Hakuna hiyo siku hizi, tunajua tunataka nn, na kama najua nakuhitaji why wasting my time playing hard to get
mie siko huko kabisa
 
wanaume wenyewe hawaeleweki ujifanye unazunguka unafikiri atakaa akusubiri ww? kama mnapendana mnapendana tu wangapi kuna watu wamekutana for the short time na wakaoana na wanawatoto kibao maisha ya furaha yanaendelea
 
Back
Top Bottom