Why are blondes stupid?

Hivi kuna kichwa kisichokuwa na ubongo? (Niko ndani ya perimeter I think)

ha ha ha! kingine huwa akilalagi na kikifanya kazi kuliko chenye ubongo huwa chenye ubongo kinasiizi kufanya kazi kama ni mwanafunzi anachoka kbs class anakuwa wa mwisho(to some)
 
ha ha ha! kingine huwa akilalagi na kikifanya kazi kuliko chenye ubongo huwa chenye ubongo kinasiizi kufanya kazi kama ni mwanafunzi anachoka kbs class anakuwa wa mwisho(to some)

Mpwa hauoni unastahili zii kwa ajili ya kutoka off point? Hahahaha! Wapwa bana!
 
Masanilo,
Nimeshasikia joke kadhaa jinsi hawa blondes walivyo wajinga. Zaidi ya hiyo ni kuwa hawa watu inasemekana wanapenda sana kufanya mapenzi. Sasa kuna maswali ya kisomi:

1. Swali: Kwa nini kukiwa na baridi, blonde wanakaa kwenye kona ya chumba?
Jibu: Kwa sababu hapo kuna nyuzi 90.

2. Swali: Ukipanda juu ya ghorofa na kuwarusha blonde na redhead, utakuta nini chini?
Jibu: Utamkuta Redhead peke yake kafa (blonde atakuwa kapotea hapo njiani).

JOKE: Cell pekee yenye akili ambayo blonde anayo ni: Spermatozoon (Sperm cells).
 
Hahahahah hao hao nyeupe to Goldish......ubarikiwe mimi niko kwenye mafungo naombea Nguli, Xpin, Yo Yo, Fidel na watu wa jinsi hiyo!

Hehehehe natamani sana hawa blondes bahati mbaya kila nikirusha kete natoswa ngoja natafuta uchawi ili nifanikiwe kujiexpress.
 
Hehehehe natamani sana hawa blondes bahati mbaya kila nikirusha kete natoswa ngoja natafuta uchawi ili nifanikiwe kujiexpress.

Mkuu,
Inawezekana unatafuta artifial blondes (Kama Beyonve vile au Lil Kim).

Tafuta wale wenyewe kama akina Paris Hilton. Kama una nauli nenda kwa Mzee Kishoka (Lennin) na huko utakutana na akina Tania, weee!!!! Wale akina harashoo ni mwisho wa matatizo....... The more you give, the more they come....
 
Blondes au mikonge ni wajinga kwa sababu mara nyingi hawasemi NO!!

Hahahahaha nimekukubali mazee! Blonde hair is a recessive trait, and therefore somewhat rarer than brown or black hair, Most of the blonde have met are crazy to a certain level! hebu check hii joke

1. How does a blonde kill a fish?
Drowns it

2. How do you kill a blonde?
Put a scratch and sniff at the bottom of the pool

3. How does a blonde kill a bird?
Throws it off a cliff

4. How do you keep a blonde busy for hours?
Tell her to go find a corner in a round room

5. How do you get rid of a blonde?
Tell her to go take a long walk on a short cliff
 
Sijui kwa nini vitu vyeupe saana vinakuwa na ujinga. Hata Snowman ukipimuona usiku anachekelea na furaha tele kwenye bustani, basi lazima ufahamu kuwa kwenye matangazo ya hali ya hewa wamesema "tonight the wind will BLOW..."

snowman.jpg
 
Hahahha unataka nishika wewe! wanawake wenye nywele nyeupe wazungu, (blondes) huchukuliwa na wengi kuwa ni warembo....ila kuna imani pamoja na uzuri wao ni wajinga hahahahah
- ni imani tu,kuna redheads na brunetes vichwa maji kwenda mbele!!
 
Do I sense some Jungle fever up in this joint?

Darwinian heredity would have it that blondes are descended from a long line of "trophy wives" who never had to work and had everything thrown at them, so they never had to exercise their brains, except of course if you are referring to the more recent phenomena of giving brains which is totally unrelated, that is why they are dumb.

Or so the stereotype goes.
 
Masanilo,
Nimeshasikia joke kadhaa jinsi hawa blondes walivyo wajinga. Zaidi ya hiyo ni kuwa hawa watu inasemekana wanapenda sana kufanya mapenzi. Sasa kuna maswali ya kisomi:

1. Swali: Kwa nini kukiwa na baridi, blonde wanakaa kwenye kona ya chumba?
Jibu: Kwa sababu hapo kuna nyuzi 90.

2. Swali: Ukipanda juu ya ghorofa na kuwarusha blonde na redhead, utakuta nini chini?
Jibu: Utamkuta Redhead peke yake kafa (blonde atakuwa kapotea hapo njiani).

JOKE: Cell pekee yenye akili ambayo blonde anayo ni: Spermatozoon (Sperm cells).

N.B. Siyo kila blonde umuonaye ni blonde.Wengi sana ni fake na ndio maana utakuta hata mwafrika mweusi tii eti na yeye ni blonde!True blondes are very rare.Try taking a trip to Scandinavia, that might enlighten you on the occurence of naturally blonde hair.

You can actually tell a natural blonde from the eyebrows (blonde eyebrows are a tell-tale sign), super fair complexion, ultra-fine hair, and a blonde "fuzz" for body hair.

So Masa next time you think u have gotten urself a blonde, check for the tell-tale signs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom