Who was Iran trying to assassinate?

Muda mfupi tu bi Clinton anatafuta makundi dunia nzima eti strong message to be sent to Iran. Tatizo dogo na la uwongo la kwao wanataka kulifanya la dunia.Huku kwetu majanga ya mv Spice na njaa yanatutosha.Kama wana uwezo waende peke yao wakapigane na adui yao.
Zaidi ni kuwa ni plot tu mbona imekuwa kama ndio imetendeka.Ajabu ni kuwa enzi hizi Marekani inagundua mipango yote ya hujuma tangu shoe bomber,car bomber, .........Uwongo binadamu anayetaka kufanya kitu kweli hakamatwi katika kila jaribio.Ukweli ni kuwa hakuna hayo majaribio.Ni hadithi ovu tu.
Wacheni kujikanyaga.Watu wazima ovyooo!

Huyu eti ni underpant bomber.

swala la juyu dogo pia unalitilia mashaka?
 
very coward these american everytime iran do something it didnt actually do washngton diaper stock runout.
 
Wakuu mbona mnakuwa kama mnafikiri kwa kutumia masaburi? Kwa nini mnapenda kushabikia tuu.Mbona mnapima umbali kwa urefu wa pua? Kwanza marekani kufilisika ni kitu ambacho hakitatokea.

Imewekeza zaidi ya dola tril 5 nje ya marekani hii inamaana dunia nzima inategemea marekani hata china yenyewe.Yanmyotokea sasa ni matatizo ambayo hata robo hayafikii yale ambayo imeshayapitia.

Dola la marekani ni dola lililojijenga zamani sana toka 1870.kuhusu saudia na Iran hizi nchi zina ugomvi wa miaka na miaka ikumbukwe kuwa saudia ni wasuni na Iran ni washia na ugomvi wao hasa ni juu ya Bahrain ambayo watu wengi ni washia lakini watawala ni wasuni na saudia imekuwa ikiwasaidia wasuni wenzake kila washia wanapo andamana kitu kinachowakera sana Iran.

Iran ndiyo imekuwa iwahasisha washia wa bahrain waandamane kupinga wasuni.lakini pia kila nchi iran na saudia zote zinataka kuwa super power Middle east. Naona muda umeniishia ila sababu zipo nyingi zinazo wa farakanisha.

Menny Terry,

Naona bado unatumia statistic za zamani sana. Marekani ipo kwenye BIG HOLE ya kiuchumi sasa hivi. Marekani ana Debt over 14 Trillion dollars, also Budget deficit ya kila mwezi.

Kuhusu dola ya Kimarekani toka enzi 1870- umesahau kwamba Marekani siyo taifa la kwanza duniani kuwa na strong ya kiuchumi, ya kijeshi. Kumbuka Great Britain, Japan, Germany, Roman Empire nk, yote hayo yameanguka sasa hivi yamekuwa normal countries.

Dola ya Marekani haitoweza kudumu kwa muda mwingi kuwa world currency-sababu ya kwanza ni kwamba, huwezi kuprint hela za nchi yako wakati unakuwa na budget defecit. Hiyo ni basic economic principles.

Pili, kuna nchi kama China ambayo inakuwa kwa kasi sana kiasi cha kufanya nchi kubwa za Ulaya na North America kuwa katika hali mbaya ya kiuchumi sasa hivi.

Solution kubwa ya Marekani ni kuanzisha vita ili matatizo ya nchi yao yasijulikane na wananchi wao, hiyo ni principle kubwa ya US foreign policy. Saa hivi kuna Wall Street protest ndani ya USA ambayo inapigania haki za walalahoi (middle class) so called class warfare. Matajiri wakubwa washaanza kuwa na hofu ya maslahi yao. Hilo ni tatizo kwa USA.

Marekani ya zamani SIYO ya sasa hivi. Marekani ya sasa hivi ipo katika kufight kusurvive na siyo growth.
 
swala la juyu dogo pia unalitilia mashaka?
Wewe unayeamini hebu lete ushahidi.
Huyu kijana unaelewa kuwa kwenye hiyo ndege aliingizwa na CIA wenyewe bila passport?.Soma kisa chote kwa makini uone.
Unajuwa kwamba huyu ni mtoto wa tajiri wa kinigeria na rafiki mkubwa wa Marekani?.
Kumbuka kwenye hiyo ndege kulikuwa na abiria raia wa Marekani ambao walipingana kiuwazi na maelezo ya tukio kutoka serikalini kiasi cha vyombo vya usalama kubabaika na kubadili maelezo kila baada ya muda mfupi.

Umar Farouk Abdulmutallab - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Menny Terry,

Naona bado unatumia statistic za zamani sana. Marekani ipo kwenye BIG HOLE ya kiuchumi sasa hivi. Marekani ana Debt over 14 Trillion dollars, also Budget deficit ya kila mwezi.

Kuhusu dola ya Kimarekani toka enzi 1870- umesahau kwamba Marekani siyo taifa la kwanza duniani kuwa na strong ya kiuchumi, ya kijeshi. Kumbuka Great Britain, Japan, Germany, Roman Empire nk, yote hayo yameanguka sasa hivi yamekuwa normal countries.

Dola ya Marekani haitoweza kudumu kwa muda mwingi kuwa world currency-sababu ya kwanza ni kwamba, huwezi kuprint hela za nchi yako wakati unakuwa na budget defecit. Hiyo ni basic economic principles.

Pili, kuna nchi kama China ambayo inakuwa kwa kasi sana kiasi cha kufanya nchi kubwa za Ulaya na North America kuwa katika hali mbaya ya kiuchumi sasa hivi.

Solution kubwa ya Marekani ni kuanzisha vita ili matatizo ya nchi yao yasijulikane na wananchi wao, hiyo ni principle kubwa ya US foreign policy. Saa hivi kuna Wall Street protest ndani ya USA ambayo inapigania haki za walalahoi (middle class) so called class warfare. Matajiri wakubwa washaanza kuwa na hofu ya maslahi yao. Hilo ni tatizo kwa USA.

Marekani ya zamani SIYO ya sasa hivi. Marekani ya sasa hivi ipo katika kufight kusurvive na siyo growth.

Mkuu Samahani kama Nitakuwa tofauti na wewe, Tunapozungumzia kuwa china inakuwa kwa kasi kwenye uchumi nini hasa unakiangalia?
Statistics zipo hivi na China bado haijafikia hata nusu ya pato la Marekani ndani ya mwaka. angalia hapa chini

[h=1]10 : Italy[/h]
GDP : $1,801,000,000,000
[h=1]09 : Brazil[/h]
GDP : $2,030,000,000,000
[h=1]08 : France[/h]
GDP : $2,097,000,000,000
[h=1]07 : Russia[/h]
GDP : $2,225,000,000,000
[h=1]06 : United Kingdom[/h]
GDP : $2,279,000,000,000
[h=1]05 : Germany[/h]
GDP : $2,863,000,000,000
[h=1]04 : India[/h]
GDP : $3,319,000,000,000
[h=1]03 : Japan[/h]
GDP : $4,487,000,000,000
[h=1]02 : China[/h]
GDP : $7,800,000,000,000
[h=1]01 : United States[/h]
GDP : $14,580,000,000,000

Sasa tujadili ni kukua gani kwa kasi kwa china ambako kunaweza kumfikia USA kwa siku hizi za karibuni kama mapato yake kwa mwaka ni nusu ya mapato ya USA.

Source
:Top 10 Countries With The Largest Economies | Tip Top Tens
 
Mkuu Samahani kama Nitakuwa tofauti na wewe, Tunapozungumzia kuwa china inakuwa kwa kasi kwenye uchumi nini hasa unakiangalia?
Statistics zipo hivi na China bado haijafikia hata nusu ya pato la Marekani ndani ya mwaka. angalia hapa chini

[/B]10 : Italy

GDP : $1,801,000,000,000
09 : Brazil

GDP : $2,030,000,000,000
08 : France

GDP : $2,097,000,000,000
07 : Russia

GDP : $2,225,000,000,000
06 : United Kingdom

GDP : $2,279,000,000,000
05 : Germany

GDP : $2,863,000,000,000
04 : India

GDP : $3,319,000,000,000
03 : Japan

GDP : $4,487,000,000,000
02 : China

GDP : $7,800,000,000,000
01 : United States

GDP : $14,580,000,000,000

Sasa tujadili ni kukua gani kwa kasi kwa china ambako kunaweza kumfikia USA kwa siku hizi za karibuni kama mapato yake kwa mwaka ni nusu ya mapato ya USA.

Source
:Top 10 Countries With The Largest Economies | Tip Top Tens

Sasa nilivyoandika ni kwamba China inakua kwa kasi sana uchumi wake. Sasa hapo unaona China ni ya pili, kumbuka zamani haikuwepo hapo.

Forecast za uchumi zinaonesha kwamba in 2020-30 China itakuwa the largest economy in the world. Huwezi kubisha hizo forecast kwa sababu China wana Population kubwa 5x ya USA. Sasa hapo ni basic economic principles utagundua China ndiyo itakuwa Super Power ya Kiuchumi duniani.

Sasa hivi China wana budget surplus, wakati USA wana budget defecit. Sasa hivi China wanasign mikataba kila kona ya Dunia ktk kuwahi resources. China washaikua kibiashara Africa, Latin America, some countries in Mid East.

Marekani ya zamani siyo ya sasa hivi. Marekani ya sasa hivi inafight ktk Kusurvive na SIYO growth. Ndiyo maana kuna "Occupy Wall Street" sasa hivi kila kona ya USA.
 
Apart from sacrificing blood to the devil( i presume so), america want to jump start their economy by causing a huge destruction through wars and then through reconstructions together with arm industry making huge profits, as well as curving resources spheres of influence.
 
America is the Democratic- Dictatorship country, Exercising democracy inside and Dictatorship outside!
 
Ni kweli kabisa,

Cheki hapa:
Military Dictatorship USA?
obam_nazi.jpg
10 Indications the United States Is a Dictatorship | COTO Report
obama-warrior.jpg
http://www.bigeye.com/dictator.htm
 
Back
Top Bottom