"Who wants to hang with the ancestor?" Wanawake mtaua watu kwa majibu yenu ya shombo

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,499
Wana zengwe

Nawaambieni, tafuna mifupa wakati meno bado yapo

Weekend hii imekua mbaya sana, nilijipanga kwenda kuona maziko ya mnyama pale kwa Mkapa, ila wale wa Botswana wapuuzi sana, wakachezesha watu wenye utapia mlo(vitambi) mambo yakawa siyo mambo.

Sasa nimetulia sehemu nakunywa vitanua moyo (beers) aliingia mdada mmoja mzuri sana kwa viwango vya kimataifa.

Kiherehere au sijui ni nyege, mchizi mmoja, mtu wa makamo hivi si akajilipua kwenda kulianzisha, aisee, nyinyi wanawake wa mjini, mtaua watu kwa pressure, demu akamchana live mchizi "Who wants to hang with the ancestor?"

Niko hapa natafakari sisi ancestors tutatoboaje kwenye haya mapenzi!
 
Aiseee nimecheka sana..ndio nasisi ma ancestor tupunguze papara.
Simba mwenda pole ndo mla nyama
 
Wana zengwe

Nawaambieni, tafuna mifupa wakati meno bado yapo

Weekend hii imekua mbaya sana, nilijipanga kwenda kuona maziko ya mnyama pale kwa Mkapa, ila wale wa Botswana wapuuzi sana, wakachezesha watu wenye utapia mlo(vitambi) mambo yakawa siyo mambo.

Sasa nimetulia sehemu nakunywa vitanua moyo (beers) aliingia mdada mmoja mzuri sana kwa viwango vya kimataifa.

Kiherehere au sijui ni nyege, mchizi mmoja, mtu wa makamo hivi si akajilipua kwenda kulianzisha, aisee, nyinyi wanawake wa mjini, mtaua watu kwa pressure, demu akamchana live mchizi "Who wants to hang with the ancestor?"

Niko hapa natafakari sisi ancestors tutatoboaje kwenye haya mapenzi!
pole ancestor
 
Hayo majibu ya mwanamke mwenye kimtu chake,akishatemwa siku ukikutana naye utamsikia,samahani kaka kama nakufananisha vile,hapo ujue tayari kitu kimelia...
 
Wana zengwe

Nawaambieni, tafuna mifupa wakati meno bado yapo

Weekend hii imekua mbaya sana, nilijipanga kwenda kuona maziko ya mnyama pale kwa Mkapa, ila wale wa Botswana wapuuzi sana, wakachezesha watu wenye utapia mlo(vitambi) mambo yakawa siyo mambo.

Sasa nimetulia sehemu nakunywa vitanua moyo (beers) aliingia mdada mmoja mzuri sana kwa viwango vya kimataifa.

Kiherehere au sijui ni nyege, mchizi mmoja, mtu wa makamo hivi si akajilipua kwenda kulianzisha, aisee, nyinyi wanawake wa mjini, mtaua watu kwa pressure, demu akamchana live mchizi "Who wants to hang with the ancestor?"

Niko hapa natafakari sisi ancestors tutatoboaje kwenye haya mapenzi!
mbona ancestors wenzio ndo kwanza tunapendwa na hivi vitoto. utakuwa huna hela mkuu na unaonekana hivo
kuwa smart hadi viamini una hela hata kama huna, utashobokewa tu
 
Back
Top Bottom