WHO: Mlipuko wa Ebola Uganda umechelewa kugunduliwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,034
1,658
Ofisi ya Shirika la Afya Duniani Kusini mwa Jangwa la Sahara imesema mlipuko wa #Ebola unaoendelea nchini Uganda uligunduliwa kwa kuchelewa baada ya Uchunguzi wa awali kuonesha kuwa dalili zilianza kuonekana mwezi Agosti lakini hatua stahiki hazikuchukuliwa

Dkt. Patrick Otim, Msimamizi wa Majibu ya Vipimo vya Ebola nchini humo, amesema timu za kukabiliana na Ugonjwa huo zinapata ugumu kumtambua Mgonjwa wa kwanza kwa sababu wakati Uganda ilipotangaza mlipuko huo vifo vingi vinavyohisiwa kuwa vya Ebola vilikuwa vimeripotiwa katika jamii


..……………


The World Health Organization’s office in sub-Saharan Africa says the ongoing Ebola outbreak in Uganda was detected late.

Preliminary investigations suggest that the patient could have developed symptoms in August but it was not immediately picked up as an Ebola case.

At least 24 people have so far tested positive for the Sudan strain of the Ebola virus, which has left four people dead.

Dr Patrick Otim, who is overseeing the Ebola response in Uganda, told the BBC that response teams on the ground are finding it difficult to identify patient zero.

This is because by the time Uganda declared the outbreak several deaths had already been reported in the community - with many more having attended funerals.

Dr Otim said it is suspected that these deaths could have been caused by the Ebola outbreak.

The symptoms of the Sudan strain are similar to other diseases such as malaria and typhoid, which are endemic in the affected areas, and is proving a challenge to medics.

There is no vaccine for the Sudan strain of the Ebola virus, as this type of outbreak is rare.

The only available vaccine is effective against the Zaire strain that has caused outbreaks in West Africa and neighbouring Democratic Republic of Congo.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom