Who is Shivji mpaka asikosolewe?

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
1,237
1,942
Mimi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.

Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to JK Nyerere.

Kama ana akili kweli ashindanishwe na Kabudi au Lipumba.
 
Mzingira ya Sasa hayaruhusu hata kama una mawazo makubwa sana hupati room ya kuandika hizo journal mana ushindani ni mkubwa sana. Kipindi hicho ushindani haukuwepo ndo mana hata ukipata div four Bado ulikuwa unaweza kupata kazi ya ualimu. Lecturers wengi wamefunga unga na kwa maana hiyo ni sub standard.
Issa G Shivji unamjua kweli ama unaropokwa?
Kaangalie maandiko ya thesis na research zake uje uongelee. Mparofesa wengi sana wanamuheshimu na kumuogopa. Haya niambie wewe ambaye hujatoka kwenye spoon-feeding mpaka sasa una journal ngapi zenye kutumika kama reference.
 
Mzingira ya Sasa hayaruhusu hata kama una mawazo makubwa sana hupati room ya kuandika hizo journal mana ushindani ni mkubwa sana. Kipindi hicho ushindani haukuwepo ndo mana hata ukipata div four Bado ulikuwa unaweza kupata kazi ya ualimu. Lecturers wengi wamefunga unga na kwa maana hiyo ni sub standard.
Shivji hajawahi kupata div 4, wala 3 wala 2.
 
Mi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.

Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to jk Nyerere.

Kama ana akili kweli ashindanishwe na kabudi au lipumb
shida mfalme kasha kula chake, nasikia jamaa walishalipa dau na haliko kwenye maandiko yoyote zipo kwenye account za watu, kwa vyovyote vile lazima mzigo apewe.

Mabosi wako wanamjua shivji, hao wanasheria wote waliosoma mlimani, including kabudi, mwanasheria mkuu, katibu mkuu wa wizara, walishafunga mjadala mwalimu wao (guru in law) kashaongea. sasa wewe uliyesoma uandishi wa habari kwenye vyuo vya mkabara na sheli za buguruni kumkosoa shivji tafuta wanaoendana na wewe,
 
shida mfalme kasha kula chake, nasikia jamaa walishalipa dau na haliko kwenye maandiko yoyote zipo kwenye account za watu, kwa vyovyote vile lazima mzigo apewe.

Mabosi wako wanamjua shivji, hao wanasheria wote waliosoma mlima, mwanasheria mkuu, katibu mkuu wa wizara, walishafunga mjadala mwalimu wao kashaongea. sasa wewe uliyesoma uandishi wa habari kwenye vyuo vya mkabara na sheli za buguruni kumkosoa shivji tafuta wanaoendana nae
Unaweza kufundishwa na kilaza pia. Kwani kufundishwa na mwalimu ndo ticketi ya yeye kukuzidi. Mbona tumefumdisha na walimu ndezi sana primary
 
Shivji yupo sahihi,kwa tulipofikia sasa tukitaka kujitoa kwenye huu mzigo wa mnyamwezi ni lazima Bunge letu lirudi tena kufuta kilichoamuliwa, Sasa ndugu Shivji katudanganya nini hapa ?
Angeshindanishwa na mwanasheria mwingine asiyeegemea popote ndo ungejua kama Shivji ni kiazi au la
 
Shivji yupo sahihi,kwa tulipofikia sasa tukitaka kujitoa kwenye huu mzigo wa mnyamwezi ni lazima Bunge letu lirudi tena kufuta kilichoamuliwa, Sasa ndugu Shivji katudanganya nini hapa ?
Wanasiasa wamewaharibu vijana sana, eti mtaalamu wa sheria Tanzania, anayeheshimika kimataifa, visiting lecturers to the most reputable universities around the world, aliyeandika maandiko (researchable papers) unakuja kumpinga kwa siasa za DPW
 
Maandiko yakutoe akili ukajiona huna akili mbele yake. Kila mtu anakili na akili ya mtu haitrgrmeani ni madarasa haya ya kukalili vya wazungu. Akili ni inborn ndo mana Boko Haram hawataki kabisa elimu hizi za wazungu mana zinajenga matabaka na watu kujiona hawana akili mbele ya aliyehudhuria madarasa
 
Mi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.

Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to jk Nyerere.

Kama ana akili kweli ashindanishwe na kabudi au lipumba.
ALiyekudanganya enzi za Nyerere elimu ilikuwa mteremko ni nani?
Hivi unaweza kumlinganisha pro. Shivji hawezi kulinganishwa na PhD wenu was michongo, kuonyesha weupe wako umeshindwa kumjibu kwa hoja na kufanya person attack
 
Ni kilaza wa hali ya juu ambaye anaweza kumdharau Prof. I. Shivji na usomi wake.
Poleni wenye elimu ya "division 5" ambao hata maana ya "mihadhara" hamjapata kuijua.
 
ALiyekudanganya enzi za Nyerere elimu ilikuwa mteremko ni nani?
Hivi unaweza kumlinganisha pro. Shivji hawezi kulinganishwa na PhD wenu was michongo, kuonyesha weupe wako umeshindwa kumjibu kwa hoja na kufanya person attack
Mazingira yalikuwa mazuri chochote unachotaka unapewa mpaka madaftari mashuleni yalikuwa yanagawiwa Bure kabisa we kazi yako kusoma tu.
 
Back
Top Bottom