Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
halafu hii mitandao isiwafanye binadam wakasahau ubinadamu wao. hujafa hujaumbika, na hizo wax muombe msije mkatumia siku mkashangaa mnaota nyasi haya...

umeona eeh...!afu mi nakwambia wanaomtetea hawampendi hata kidogo maana wanazid kumharibu najua atakua anasoma sana hapa ili kesho tuchambwe kule kwake na team water mark.
Ila anapaswa ajiulize kwa nini hawa wananichochea?
Wengine wanapinga yupi mzuri yupi mbaya...?
 
Hahahaaaa! We hii biashara unayofanya biashara gani? Au ndo kunya unye wewe tukinya sie tumeharisha? Hahahaaaaaaa! Wanishangazaaa!

Walaaaaa mie kazi yangu kuangalia tu ila ts tym sas watu wamuache mange na mambo yake si kumfuatilia kwenye blog af wanakereka wanakuja huku kumuanzishia thread...mnafuataga nn huko u turn?muingiage kwenye blogs zngine...kwahiyo biashara nayoifanya ni kuwaambia kama mangenita anakukera acha kumfuatiliaa deal na matatzo yako...ni hayo tuu
So Lara1 mi si team yeyote ila nashangazwa na hawa wanaomfuatilia wenyew huko af wanakuja kumfungulia thread huku
 
kweli mambo mengine hayana msingi ye angedili na wateja wake coz alishawaelewesha akaendelea kupiga hela.huyo bibi na bedui wangeonekana wajinga tu
Kawapa choice WASEME SUUUUUU! Wakiamua yaishe yataisha, wakijitia wazimu basi tena! Hahahaaaa!

Kama Staharisha picha yake akiwa mtupu yanitia imani si kidogo, papa limesitiriwa na logo ya hollwoodshopahplics. Hahaaaa!
 
Nawe mtu mzima umeona ubadili ID ila usipitwe japo kuchambwa na id ya zamani unaona soo, unasemaje maana sikuelewi elewi madai yako.? Maana umekoroga koroga? Embu uliza hio ishu ya Trabella vizuri nikujibu.

hahahahaa kandandia tren kwa mbele huyo
 
mambo ya teenagers yanafanywa na mama wa watoto watatu............ cyber bullying atuachie vichunchuda Sie.......

umeona eeeh...!ye asa hv anapaswa kiwaza mengine sawa anachokozwa hatukatai
mbonw wenzie hawana mda na magazeti ya RAI..?au kutukanwa ye asa hv ataitwa bibi hebu ajirekebishe bwana...!
MWWNAMKE HULKAAAA....!!!!$!
 
hatavkm mzazi ni mzazi hasa mama akumbuke ye mtoto awa nje ya ndoa alipaswa amheshimu mama yke kwa kumleta duniani angemetoaje?
hiyo vita unayomchochea mwenzio siri zake zote hadharani
tushajua kwamba mumewe mzungu mtaani
wako houston km kwetu mbagala
ashawahi kuiba kpnd anasoma usa akashtakiwa
mwanawe anasoma st.kayumba za usa
NO WAR ZAIDI YA AIBU....!
hivi kwa nini unamchukia mange mme kuwa maskinii wewe hupumui kwanza mange huwa hajisifii kuwa mme wake ni tajiri nyie ushamba wenu tu ndo mnawaza hivyo,
 
umeona eeh...!afu mi nakwambia wanaomtetea hawampendi hata kidogo maana wanazid kumharibu najua atakua anasoma sana hapa ili kesho tuchambwe kule kwake na team water mark.
Ila anapaswa ajiulize kwa nini hawa wananichochea?
Wengine wanapinga yupi mzuri yupi mbaya...?

tih tih tih tih tih michambo yao ingekuwa inaua watu basi angekufa sinta na shamim. wenzake wanamchochea waone anguko lake waje wamcheke vizuri
 
Hamna aliyeanika maisha yake hapa hata mmoja..
Ye si anataka umaarfu acha watu wamjadili tena sie hohehahe ndo tunampa umaarufu
Hao celebrities hawana time nae wanaogopa atawalipua labda
So avumilie tu makavu!
Umaarfu zigo la miiba!

ye public figure ndio maana anajadiliwa na hii celebrities forum wangelielewa hilo kwanza halafu patia picha tunaanza kumjadili geniveros si itakuwa ajabu???? uweke bank statement so what??????
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom