Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Habari hii huenda ina ukweli ndani yake hasa ukiwa ni mfuatiliaji wa siasa za upande wa Maziwa Makuu. Ila sasa kitu kimoja jamaa haonyeshi kwamba Joseph Kabila alisoma Tanzania kitu ambacho ni kweli kwamba alisoma nchini Tanzania shule ya Sekondari.