Which is which child support or children relations

Sahiba

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
303
1
Is really mifarakano wakati wazazi wawili wanapotengana huku ughaibuni hasa wazazi hao wakiwa wametokea katika background zinazotofautiana.mifarakano zaidi even inatokea pale wahusika wanaposhindwa kuelewana katika basic things in regsrds to those children.ama mzazi mmoja anapohakikisha anawatumia watoto kuuabuse upande mwingine.

Ni vizuri kutatua matatizo yenu nje ya court system kwa sababu once you go to court unaingiza uhasama ndani ya system nzima na waathirika wakuu ni watoto.

Kwa wale wenye uzoefu na kesi kama hizi tafadhali leteni michango yenu ili wasio na uzoefu waweze kusoma kutokana na uzoefu wenu.Kwa wasiojua kinachoongelewa hapa tafadhali tusiharibu mada kwa sababu ni very sensitive.

SAHIBA.
 
Kwa nini watu waliosema wanapendana wanafikia kufarakana? what is the source of this problem?
 
Kwa nini watu waliosema wanapendana wanafikia kufarakana? what is the source of this problem?


Mkuu waberoya sina hakika una umri gani lakini hilo swali lako lina utata ikiwa watu wanafarikiana na mama na familia zao ambao wamelelewa na wakakulia nyumba moja tokea utotoni itakuwa wawili waliolelewa malezi tofauti ajabu kutoelewana ?Mara nyingi mwanadamu anapoamua kuoa hafanyi majaribio kaamua kunza maisha mapya lakini yanapomchosha anaona ni heri aanze kuliko kujipotezea muda.mara nyingi wenzetu kina dada unapowaambia yamekushinda unageuka kuwa adui wao namba moja na kusahau happy time zote za ndoa ile na matokeo yake watoto ndio wanaathirika.Kama una mapenzi makubwa na watoto wako basi watajaribu kulitumia hilo kukudhoofisha kifedha,kiakili na kisaikolojia kiasi hata uone vigumu hata kuspend time na watoto wako.na sehemu ya mwanzo kukimbilia ni child support bila kujali uhusiano wako na watoto.Anachotaka ni pesa yako na hataki hata kukuona wewe na watoto.Wanajamii tulijadili hili namna gani ya kueza kujenga relashion na watoto mbali na kuwasupport kimaisha.Kwa wale wa ughaibuni hasa.

SAHIBA.
 
Back
Top Bottom