hata mimi jani eeh kumbe tupo wengiPreta mi naogopa mwanamme kuwa na nywele ndefu kuliko mimi
:crying:
Ambao hawana nywele kabisa ....
Ambao hawana nywele kabisa ....
mi napenda kipara kabisa yani kile kinachonga'aaa hata kama hakijapakwa mafuta. wengine huita zungu