Where are we heading?????????

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Kwa mujibu wa radio one majambazi yapatayo saba yameteka kijiji cha Katunguru huko Sengerema kwa zaidi ya saa 3 bila ya upinzani kutoka kwa wananchi wala polisi waliokuwa kituoni kwao zaidi ya kilometa 1 kutoka kijijini hapo. Majambazi hayo yamepora pesa zaidi ya sh. 3milioni. Hivi kwa jambo kama hili la kuteka kijiji tutegemee nini? Au ndio siku moja tutasikia na kata nzima imetekwa bila upinzani? Do we have responsible police force? Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom