When Does the Infatuation ends.......?

sun wu,unasema unayosema kwa sababu hujui kupenda ni nini.Ndo maana unashangaa kama upendo nao unafundishwa.Hili ni janga la kitaifa 90% ya vijana hawajui kupenda ni nini!
 
Last edited by a moderator:
miss u 2 dear, uchakachuzi nilishaacha haswa kwenye mathread yenye akili kama ya da mkubwa. We ushawahi kutamani? (useme ukweli hapa).
ndio nilishawai kutamani sana tu ila huwa najitahidi kucontrol tamaa zangu sio kila unachokitamani lazima uwe nacho my dear
 
Da mkubwa umekuwa infatuated with mbu halafu unaona inalast long eeh!
Mi niliwahi kutamani (ila tamaa yangu ilikuwa na upendo wa kweli) iliisha nilipogundua kuwa niliyemtamani siwezi kuwa nae.
Nafikiri hata kwa wengine, tamaa huisha pale unapokuta mambo ni tofauti na ulivyokuwa unaimagine au unaposhindwa kupata unachokitamani.

Kwa ushahidi wako dada ni kuwa unawezaishi under inftuation hata kwa miaka miaka mi5 mpaka pale zitakapojitokeza sababu???

Mbu is another aisee.........kama ni infatuation ninapiga goti sasa hivi kuiombea iwe kweli mpenzi....he completes me
 
MwanajamiiOne,nasikitika kukuambia kuwa kama haujui upendo ni nini hautajua kuuishi na upendo unafundishwa,upendo na tamaa havichangamani.Palipo na tamaa hakuna upendo na palipo na upendo hakuna tamaa,huwezi kumtamani mtu halafu ukampenda,hebu rudia kusoma maelezo ya herufikubwa ya mwishoni mwa posta yangu!
 
hv eiyre kuna tofauti gani kati ya feelings na matamanio?
 
IF ITS MORE THAN A BRIEF SPARKLE, THEN IT IS NOT INFATUATION...

Love comes in too many different faces, and it takes more than perception to realise one sometimes
 
IF ITS MORE THAN A BRIEF SPARKLE, THEN IT IS NOT INFATUATION...

Love comes in too many different faces, and it takes more than perception to realise one sometimes

TIMING baby.................you spank on ile.....tell more hun, funguka zaidi sweetie!
 
Nadhani ni rahisi sana kugundua kwa kuangalia namna utakayokuwa unamuwazia katika maisha yako. Ikiwa utaweza muimagine kama mume/mke. . .mama/baba wa watoto wako. . .partner wako in crime. . .miaka kadhaa mbele. .
Ukiona kwamba unaelewa huyo mtu sio PERFECT KWAKO ila ni PERFECT KWAAJILI YAKO meaning you can handle his/her flaws and your willing to deal with him nyakati za shida na raha then you definately do love that lady/lad.

Mie binafsi ndivyo nnavyotafsiri upendo ule upendo haswa maana nimewahi kuwa kama hapo juu kwa mtu mmoja tu. . .naona kabisa nikiwa namhudumia akiwa mgonjwa. . nikimpa moyo when things are going left and so so. . .

Nwy. . .ngoja nikale zangu mie kabla sijajitosa kumwambia.

Ohhhh na unapokua unamtamani tu mtu hata akionyesha kwamba yu tayari kuwa kwenye committed relationship na wewe hutokua excited. . .tofauti na umpendae.
 
love ni love -long term commitment ya body na soul,ni permanent
matamaninio ni matamanio-ni short commitment ya body -haina nguvu,ni flexible ni temporary,
but matamanio yanaweza kujenga love
ila love haiwezi jenga matamanio
come on Smile,love haiwezi jenga matamanio? sasa hao watoto mnawapataje mkiwa ndani ya penzi?
 
Nadhani ni rahisi sana kugundua kwa kuangalia namna utakayokuwa unamuwazia katika maisha yako. Ikiwa utaweza muimagine kama mume/mke. . .mama/baba wa watoto wako. . .partner wako in crime. . .miaka kadhaa mbele. .
Ukiona kwamba unaelewa huyo mtu sio PERFECT KWAKO ila ni PERFECT KWAAJILI YAKO meaning you can handle his/her flaws and your willing to deal with him nyakati za shida na raha then you definately do love that lady/lad.

Mie binafsi ndivyo nnavyotafsiri upendo ule upendo haswa maana nimewahi kuwa kama hapo juu kwa mtu mmoja tu. . .naona kabisa nikiwa namhudumia akiwa mgonjwa. . nikimpa moyo when things are going left and so so. . .

Nwy. . .ngoja nikale zangu mie kabla sijajitosa kumwambia.

Ohhhh na unapokua unamtamani tu mtu hata akionyesha kwamba yu tayari kuwa kwenye committed relationship na wewe hutokua excited. . .tofauti na umpendae.
Sweetie ndo mana nikauliza muda.... maana kusema kweli kuna wakati unamwona mtu wako kamayeye ndo yeye..........yaani ukigeuza ukapindua no one like him/her sasa kama utakuwa na hii vision kwa mwaka au miaka miwili.................will it make him/her true love?
Mwe mie na Mbu tuna mwaka sasa, I still find him new kila kukicha ........isijekuwa in fatuation aise
 
Back
Top Bottom