When a woman love.....

mpotezee mdogo mdogo, mfn. kama ulikua unampigia simu kila siku punguza unakua unampigia mara chache au mey b akikupigia cku nyingine unapokea cku nyingine unaacha kupokea na ukikuta mcd call humpigii .......... mwisho w cku atajivua gamba mwenyewe. ANGALIZO hakikisha unamfukunyua kwanza.
 
Roberto Kelly anasema hivi:

Ila ukimkorofisha na akachoka, mambo yanakuwa hivi:

Last edited by a moderator:
Experiencing yakungu ya kimaisha imenifundisha kitu kizuri sana "mwanaume si uume tu bali umwanaume ni kuweza kufanya maamuzi makubwa na madogo bila kutetereka"..kubali kwamba umefanya kosa then kwa kupretend kwamba unampenda then tafuta mazingira mazur ya kukaa na kuongea naye bila ku2mia lugha za kujibaraguza jitahd ku2mia hekima na atakuelewa hata kama itamuuma sana
 
Ur a very foolish, arrogant, ignorant,illiterate, not matured man, you exclusively identified urself having kiddish, childish, babish behaviour despite being reached puberty, still u possess adolescent mind, unajisifiaaaaa wanaume hatuko hivyo, ur not geniune, je msichana wa watu akijiua na umesema she tried one day, ww si mwanaume u just have uume shiit, tell her everything jinga kweli ww, hovyo, nilipoteza my elder sister bcoz ya wanaume hovyo kama ww, be a man like ME, stop upuuuuzi, ningekuchapa vibao if u have been nearby me seriously

...damn! ..give the guy a break bro!
 
shetani mkubwa wewe!! umeamua kumpotezea muda mwenzio!!! mi watu na namna hii nikiwaona hua napata mori ya kuwazika wakiwa hai!!

evil creature......Evil creatures here they come.stupid........

Ur a very foolish, arrogant, ignorant,illiterate, not matured man, you exclusively identified urself having kiddish, childish, babish behaviour despite being reached puberty, still u possess adolescent mind, unajisifiaaaaa wanaume hatuko hivyo, ur not geniune, je msichana wa watu akijiua na umesema she tried one day, ww si mwanaume u just have uume shiit, tell her everything jinga kweli ww, hovyo, nilipoteza my elder sister bcoz ya wanaume hovyo kama ww, be a man like ME, stop upuuuuzi, ningekuchapa vibao if u have been nearby me seriously

from the way you write, I can tell you are a woman! not a guy...

Kuna ushauri mwingine unaweza kukufanya mtu ukatamani kupotea JF siku hiyo hiyo. Pole mkuuu...
 
Ur a very foolish, arrogant, ignorant,illiterate, not matured man, you exclusively identified urself having kiddish, childish, babish behaviour despite being reached puberty, still u possess adolescent mind, unajisifiaaaaa wanaume hatuko hivyo, ur not geniune, je msichana wa watu akijiua na umesema she tried one day, ww si mwanaume u just have uume shiit, tell her everything jinga kweli ww, hovyo, nilipoteza my elder sister bcoz ya wanaume hovyo kama ww, be a man like ME, stop upuuuuzi, ningekuchapa vibao if u have been nearby me seriously
Mr. President, hasira hasara, kwa mtindo huu raia hatutapona. itabidi utuvumilie kwa mapungufu yetu.
 
Ur a very foolish, arrogant, ignorant,illiterate, not matured man, you exclusively identified urself having kiddish, childish, babish behaviour despite being reached puberty, still u possess adolescent mind, unajisifiaaaaa wanaume hatuko hivyo, ur not geniune, je msichana wa watu akijiua na umesema she tried one day, ww si mwanaume u just have uume shiit, tell her everything jinga kweli ww, hovyo, nilipoteza my elder sister bcoz ya wanaume hovyo kama ww, be a man like ME, stop upuuuuzi, ningekuchapa vibao if u have been nearby me seriously
Pole sana Mr. P kwa kumpoteza dadako! RIP dadake Mr. P
 
Experiencing yakungu ya kimaisha imenifundisha kitu kizuri sana "mwanaume si uume tu bali umwanaume ni kuweza kufanya maamuzi makubwa na madogo bila kutetereka"..kubali kwamba umefanya kosa then kwa kupretend kwamba unampenda then tafuta mazingira mazur ya kukaa na kuongea naye bila ku2mia lugha za kujibaraguza jitahd ku2mia hekima na atakuelewa hata kama itamuuma sana

thanks my dia....i'll do it
 
Just tell her da truth Man..hujachelewa, as long as hujauona Uchi wake, maana hiyo ndio sumu kwa Ladiez...
Yalishanikuta sana hayo, njia pekee ya kujiondoa ni Uwazi na Ukweli..tchao!
 
I hate pretenders like you!!!be real!if u dont love her then let her go, wewe unatamaa na zawadi zake na jinsi anavyo ku handle, waache wanaostahili wapewe penzi, u are not real!!i dont like you pretender, i can be in her shoes..its very bad to play with other people's feelings..be honest, quit!!damn you!!
 
mwambie mwenzio acha kumpotezea muda ila utakuja kujuta wewe utakapokua umekolea kwa mtu ambae anajickia kama wewe unavyockia kwa huyu. Mwambie apate kujitoa kwako na kumsaka ataempenda kwa dhati hivyo unamzibia hata nafasi yakumpa penzi la kweli.please mwambie ataumia sana ila atapata mtu wakupoza na kuzidi kuliko wewe
 
Ur a very foolish, arrogant, ignorant,illiterate, not matured man, you exclusively identified urself having kiddish, childish, babish behaviour despite being reached puberty, still u possess adolescent mind, unajisifiaaaaa wanaume hatuko hivyo, ur not geniune, je msichana wa watu akijiua na umesema she tried one day, ww si mwanaume u just have uume shiit, tell her everything jinga kweli ww, hovyo, nilipoteza my elder sister bcoz ya wanaume hovyo kama ww, be a man like ME, stop upuuuuzi, ningekuchapa vibao if u have been nearby me seriously

Nlikuwa nasema mbona jamaa kareact ivo kumbe kuna sababu pole sana kwa hayo yote yaliyo mtokea.
 
penda upendwapo..... to every action thers equal and opposite reaction hayo na ww yatakukuta ila kaa naye uongee naye kwa hekima na busara kuhusu hilo
 
I hate pretenders like you!!!be real!if u dont love her then let her go, wewe unatamaa na zawadi zake na jinsi anavyo ku handle, waache wanaostahili wapewe penzi, u are not real!!i dont like you pretender, i can be in her shoes..its very bad to play with other people's feelings..be honest, quit!!damn you!!

kweli mbaya sana kuchezea hisia za mtu.
 
Bro, kitu nilichopenda ni kwamba hujasex naye, ni kitu kizuri, cause ungesex naye ndio ungekuwa unaonekana unamchezea na ungemfanya aumie na kujisikia vibaya zaidi, kama huwa mnazungumza masuala ya love, yaani ninyi kuwa wapenzi, punguza hayo mazungumzo na kisha uyaache kabisa, penda kuongea naye kama rafiki, muonyeshe upendo wa kirafiki tu, usiende far ya urafiki, I mean usifungue zip ya suruali yako kwake, kwenye hiyo friendship ukitaka ajifeel happy angalau, asijisikie vibaya sana wala aibu kwasababu ya wewe kumtosa, kuwa naye karibu, usimkimbie ghafla ghafla, unaweza hata ukamhug au kumkiss kwenye shavu mara chache, usije ukafanya hivyo mbele ya watu wengi au mpenzi wako, mwanamke anafeel vibaya sana ukimtosa tofauti na mwanaume, cause haijazoeleka hasa kwetu Afrika mwanamke kumtongoza mwanaume, unaonekana hujatulia wakati si ajabu ana nia njema, si lazima mwanamke anayekutongoza awe na pesa sana, anaweza akawa wa kawaida tu, si ajabu huyo mwanaume akawa na uwezo mkubwa zaidi wa kifedha, ila ndio unakuta amekuzimia tu, hakikisha unamnunulia zawadi au kumtoa out mara kwa mara unapoweza, ili kulipa zawadi na fadhila zake, asijekuletea lawama zaidi, kisha au hakikisha sasa hivi unaanza kumueleza kuwa una mpango wa kurudiana na mpenzi wako wa zamani, ambaye yuko mkoa mwingine baada ya mpenzi wako huyo kukuomba msamaha sana na kutaka mrudiane, na kwa kuwa bado na wewe unampenda, unataka kurudiana naye, mdanganye, usimweleze ukweli kuwa haunafeelings naye, atajisikia vibaya sana, mdanganye ili asijisikie vibaya sana na kuumia moyo sana, kisha achana naye taratibu taratibu kwa kupunguza mazoea nae ili mpenzi mpya utakayempata asikuhisi vibaya na huyo dada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom