Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Tafiti zinasema kua akili ya mwanamke ipo faster mara 10 zaidi ya akili ya mwanaume ndio maana anaweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja in smart way, kwa hali hiyo kama mwanamke akiamua kufanya kitu basi mwanamke huwa anafanya kitu hicho kwa ufanisi wa hali ya juu zaidi.
Kwakua wana akili kubwa sana. Katika ishu ya kupenda mwanamke akitumia akili hiyo kwenye kupenda basi hua anapenda kweli kweli, maana akili yao inaweza kufanya kitu kwa uafanisi wa hali ya juu.
Unapendwa hadi unajua huyu ananipenda kweli, hadi unamuonea wivu kwa mapendo anayokupatia unatamani ungekua nayo umpatie naye.
Najiona wa bahati sana kupendwa na huyu mwanamke, she love me and I love her so much, kunai le heartburn unakunayo kifuani ajili ya mapenzi basi ndio imenijaa.
Ananijulia nataka nini kwa muda upi! Ukisikia mwanamke kitu na boksi au full package ndio huyu, Rafiki,mpenzi na dada ndani ya mtu mmoja halafu yote anaweza kuyasimamia.
I love you sana Mpenzi, Let keep loving each other, maisha yenyewe mafupi wacha tufurahie kipindi hichi upendo ukiwa umetamalaki
Sent using Jamii Forums mobile app