What would you do??.....Run or Finish???

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Kama ni mimi....ningekomaa na ule msemo usemao: "Ni halali nzi kufia kidondani" Je wewe utafanya nini????????????

3.jpg
 
Hapo lazima utoke nduki tu maana unaweza kuambulia majeraha tu! Simba bora waachiane ila kama wakiwa kama mbwa(Kunasiana) imekula kwao!
 
Simba dume huwa anajikunja vizuri sana. Halafu akifika mwisho wa safari lazima aachie mdomo akama amechomwa mwiba vile!
 
...MziziMkavu hakimbii mtu mpaka kieleweke...usifanye mchezo kunako maraha ya uroda :).... Si unaona jamaa kaweka mkwara wa kutimua vumbi na Simba kajikunja tu anaendelea na shughuli zake....Simba kishasema LIWALO NA LIWE!!!! lol!

Itabidi Simba wakimbie tu Boflo ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Dah!simba dume amekakamaa,si unaona misuli ilivyomtoka mapajani!itakuwa ndo anajiaandaa kuweka bendera kwenye kilele cha mlima kilimanjaro.
 
Now thats what wazungu say Being between a rock and a hard surface!!

I tried putting myself in that situation, ningemkonyeza tembo halafu na mwambia chuna for just 30 seconds maaaaaaaannn!!! Then bif litaendelea!
 
Uzuri wa wanyama hawa katika tendo la kujamiiana hutumia kama 5 to 10 seconds pekee then wanarejea tena kila baada ya 30 minutes hadi simba jike limalize heat... so Hapo Simba Dume lazima amalizie kupunguza mabarungi kwa Simba jike Tembo kawaida yake huwa ni mikwara tu anatifua tifua Vumbi kwa Mateke yake huwa hawapendi kabisa wanyama wanaokula Nyama
 
Simba dume huwa anajikunja vizuri sana. Halafu akifika mwisho wa safari lazima aachie mdomo akama amechomwa mwiba vile!

weee!
kuna watu kwenye hii mambo wanajikunja kuliko uyo simba hapo!
na akifikia mwisho sio tu mdomo kuacha wazi,...bali na makelele juu!..acha bwana!
 
tembo mikwara tu...Boflo si unajua ule msemo wa mtaani PESA HUNA, NGUVU HUNA, HATA MKWARA???tembo ana mikwara bubu..vumbi nini....simba hapo ni kukomaa tu LIWALO NA LIWE KUDADADEKI!!!
Kama ni mimi....ningekomaa na ule msemo usemao: "Ni halali nzi kufia kidondani" Je wewe utafanya nini????????????

View attachment 63040
 
tembo mikwara tu...Boflo si unajua ule msemo wa mtaani PESA HUNA, NGUVU HUNA, HATA MKWARA???tembo ana mikwara bubu..vumbi nini....simba hapo ni kukomaa tu LIWALO NA LIWE KUDADADEKI!!!

Kudadeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeki
 
Back
Top Bottom