What would Magufuli do?

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Mar 13, 2021
2,750
5,829

View: https://m.youtube.com/watch?v=Kt2cRzvcbEk

Ni shida mashirika ya umma

1….TFC (msambazaji wa mbolea)

Kampuni ambayo alipewa ruzuku ya billlioni 700 juzi tu; ili auze mbolea kwa wakulima kwa bei ndogo ila sio chini ya bei ya soko leo unaambiwa hana mapato, Hela za pembejeo zimeenda wapi ndio yale ma-lorry ya vigogo kila siku yaliyo kuwa yakikamatwa na mzigo mpakani. Bado cha juu alichokwapua waziri na dalali wa mbolea majina mnawajua.

Hela ya serikali waliyopewa kama loan irudishwe hilo jambo aliwezekani tena; kwa taarifa ya bunge TFC ina liquidity (cashflow) problem au ukwasi.

Sababu nyingine ya kusababisha liquidity problems ni matumizi makubwa ya administration/operational costs ambazo ni zaidi ya kiwango kinachoruhusiwa kisheria.

Hizo hela zaidi ya trillioni za mkopo zilizoenda TFC kwenye deni la taifa badala ya kurudishwa na linakuws deni la mlipa kodi.

2….Kuna TIB (Tanzania Investment Bank)

Na wenyewe muda wowote chali wana liquidity crisis.

Sababu inayotajwa ni mikopo chechefu (hakuna due deligence) mwaka mmoja baada ya Magufuli kufariki bank imetengeneza hasara ya billion 195.1 kwa sababu ya mikopo chechefu way beyond BOT limit.

Katika kipindi hiko bado wana madai ya billion 206 as matured bond payments. Capital reserve iliyokuwa hazina imepungua kutoka billion 200+ kama bank regulations inavyotaka mpaka 24 billlion.

Sababu zinazotajwa ni Bashe tena kutaka bank ikopeshe wakulima kinyume na taratibu za kuanzishwa kwa bank na kupelekea upotevu wa hela.

3… Tanoil

4…. TANESCO

5. NAMCO

6. TTCL

7. MSD

8. ETDCO

Kuandika madudu ya kila mtu hapo yaliyotajwa na mwenyekiti wa kamati inataka caring commitment ya Tanzania (and I don’t have that). Worst mengine ame sema kayaacha watu wasome taarifa yao.

Ni hivi hao mnaosema wanyonge sio mazuzu ndio maana wanalilia watu wakutatua shida zao za kila siku kuliko kufuatilia ujinga na wizi uliopo serikalini.

Yaani ukisikiliza sababu za hasara za TANOIL wasivyo na huruma halafu wewe kujitutumua uchawa humu wa mafisadi wakati ata bundle tu la unlimited data mtihani.

Mie nadhani wamezima mashine ya Lowassa makusudi week hii, ili mambo kama haya yapite kimya.

Unaeweza elewa fisadi kumtukana Magufuli, lakini wewe mtoto wa maskini kabisa unawezaje kumtukana mtu aliekuwa akipambana na mijitu dhalimu inayoharibu nchi hovyo kiasi hiko yaani dah.

Aiwezekani we are not normal people.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Put it this way moderator uliekuwa uki block huu uzi kuwa kwenye siasa.

Embu sikiliza hapo hao TANOIL wamepewa mtaji wa kufanya ‘bulk procurement’ ya mafuta.

Wanaagiza mafuta, katika muda ambao watu wote waliopo kwenye supply chain ya mafuta wao wanatengeneza hasara kwa kuuza mafuta chini ya bei inayopangwa na EWURA kwa miaka mitatu. Huyo wanaemuuzia atakuwa ametengeneza zaidi ya $1 billion dollar amegawana na mafisadi wewe wanakupa casino chips za kukabana koo na hakina babalevo.

Poverty is a disease kwa tafsiri ya wazungu.
 
Back
Top Bottom