What is the safe time to have sex after delivery of a baby?

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Wakuu embu nisaidie kwa hili,What is the safe time to have sex after delivery of a baby?When is it safe to start having sex again?.....nisaidieni tudumishe uzazi wa mpango...
 
Wakuu embu nisaidie kwa hili,What is the safe time to have sex after delivery of a baby?When is it safe to start having sex again?.....nisaidieni tudumishe uzazi wa mpango...

After 40 days
 
After 40 days

Mkuu,you're right.
lakini inategemea na mtu pia na process nzima ya delivery ilikuwaje,kama ilikuwa ni normal na haikuacha damage kubwa inaweza hata kuwa after 3 weeks tu.lakini inafaa kusubiri zaidi ikiwezekana hata miezi miwili kwani inawezekana mzazi asiwe comfortable na tendo na kwa wengine kutokana na kunyonyesha na stress za kumtunza mtoto husababisha awe 'mkavu' sana na pengine anaweza akasikia maumivu which may lead to uterine infection.
lakini kama mzazi yuko katika hali nzuri,kama mkuu alivyotangulia kusema after 40 days ur ready to go.
 
After 40 days

Pamoja na majibu murua tuliyopata hapa,napenda kusema hivi hizi elimu za mambo ya vyumbani ni muhimu sana. Wajuvi wa elimu hizi msione taabu kutoa ili wengi wapone/watoke ktk giza.
 
Hi, Nguli!

Mara nyingi Madaktari wanapendekeza ni baada ya 3months, ili kutosababisha some infection kwa mama, kwani unajua sehemu nyingi huko ndani kuna kuwa bado hakujarudi katika ile hali ya Unormal. kwa hiyo after 3months ndio kipindi kizuri tu cha kuenjoy!
Alinda
 
Hi, Nguli!

Mara nyingi Madaktari wanapendekeza ni baada ya 3months, ili kutosababisha some infection kwa mama, kwani unajua sehemu nyingi huko ndani kuna kuwa bado hakujarudi katika ile hali ya Unormal. kwa hiyo after 3months ndio kipindi kizuri tu cha kuenjoy!
Alinda

Thanks Alinda,Vipi kama mtu kajifungua kwa operesheni???
 
Hi, M!

Kwa hilo sina uhakika kwani mimi nilipojifungua dk alisema tusubiri miezi 3, kwa Operation nafikiri 6wks! (sina uhakika)
 
MM mke wangu huwa anazaa kwa kisu,na anavopenda kutiwa ,wiki tu tunaendeleza!na yuko comfortable,inategemea mtu na mtu!
 
Hapa ni vema madaktari ndio watupe ushauri. Wewe uliyeanza mapema kwa sababu tu mke wako anaendekeza, angalia sana!
 
90 days ....as minimum, kwa afya zaidi 120days.

I doubt! Kwa mujibu wa mafunzo ya nesi katika kliniki za wajawazito, kama mama akijifungua kawaida, pamoja na mishono ya kuongeza njia nk, bado siku 30 zinatosha kurudi ktk hali ya kawaida. Nadhani siku 40 ni kwa mujibu wa dini ya kiislamu na mila nyinginezo. Sema mama anakuwa bado na maumivu na mateso ya 'akili' kutokana na shughuli nzito anayokuwa ameipitia katika shughuli yenyewe ya kujifungua, na pia hali ya kuhamishia upendo kati ya mume na mtoto. Miezi 3 jamani....si chanzo cha Nyumba ndogo?
 
I doubt! Kwa mujibu wa mafunzo ya nesi katika kliniki za wajawazito, kama mama akijifungua kawaida, pamoja na mishono ya kuongeza njia nk, bado siku 30 zinatosha kurudi ktk hali ya kawaida. Nadhani siku 40 ni kwa mujibu wa dini ya kiislamu na mila nyinginezo. Sema mama anakuwa bado na maumivu na mateso ya 'akili' kutokana na shughuli nzito anayokuwa ameipitia katika shughuli yenyewe ya kujifungua, na pia hali ya kuhamishia upendo kati ya mume na mtoto. Miezi 3 jamani....si chanzo cha Nyumba ndogo?[/QUOTE]


yaani mwanamume hawezi kungojea miezi mitatu TU! duh!!!!!!! huyo hata wiki moja atatafuta nyumbe ndogo wala si lazima mama awe amejifungua.
 
Kwahiyo nimejifunza jambo kwamba kwakuwa sijaoa then nikioa inabidi kwanza nile tunda vya kutosha kabla wife ajashika mimba ili nisije nikataka kanyama kabla mambo hayajakaa sawa nikasutwa na jamii. Au mnaonaje wenzangu wenye bachelor degree ya ndoa? Ukisoma hizi post unaweza kuchanganyikiwa, mwingine anakuambia miezi miwli, mwingine miezi mitatu, mwingine siku 120. Sasa siku zote hizi kanyumba kadogo kataepukika kweli wajameni? Tusaidiane
 
MM mke wangu huwa anazaa kwa kisu,na anavopenda kutiwa ,wiki tu tunaendeleza!na yuko comfortable,inategemea mtu na mtu!

kaka una raha kama una mke anayependa kutiwa, wengine wanayimwa unyumba. I think i love my wife
 
Kwahiyo nimejifunza jambo kwamba kwakuwa sijaoa then nikioa inabidi kwanza nile tunda vya kutosha kabla wife ajashika mimba...

Si hilo tu, pia unapata muda mzuri kumjua vizuri mwenzi wako, ikishaingia mimba mama wengi moods zinakuwa hazijatulia, unaweza ukadhani mamaa kaanza tabia mbaya kumbe mwenzio hali ya ujauzito inamchanganya. Na ktk ndoa nyingi, wakati mzuri wa mapenzi moto-moto huwa haurudi kihivyo ktk! Yaani kama mtu huna haraka ya kupata mtoto, vema kukaa hata mwaka na zaidi kabla ya mimba!
 
Inategemea operation yako iliendaje, na kama ulifanya mazoezi ya kutosha si unajua mazoezi ya uzazi wa operation ni kutembea na kupanda ngazi? kama ukifanya vizuri mazoezi pale tu baada ya operation, kidonda kinapona mapema na waweza kufanya hilo tendo hata baada ya wiki tatu ila kunakuwa na maumivu kama ndio unatolewa bi**a vile, lakini maumivu hayajalishi umesubiri siku ngapi hayo yapo tu.cha muhimu mwambie mwenzio awe gentle na patient.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom