Cassava
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 282
- 36
ni kweli kila sehemu umegusa ,inapendeza
kaka hiyo avator yako Du!!!!!!!! anakata GOGO!
Nyongeza ya sredi- Ni muhimu kudifine vizuri neno sex manake hilo neno lina maana zaidi ya moja kama neno MBUZI.
Nitawapa kisa,
Kuna jamaa alikuwa anajaza form akakuta kuna kipengele kilichoandikwa sex, akidhani ni kunanihii, yeye akasema TWISE PER WEEK kumbe alkitakiwa kuweka JINSIA hivyo tafadhali neno sex lazima lifafanuliwe.