McCollum
JF-Expert Member
- Jan 10, 2023
- 384
- 679
Je, kama ninahitaji kuwa Motivational Speaker, ninahitaji kufanya nini? Hapa naulizia kama kuna kozi special au vitu vya kufanya.
==============
Salamu kwa watu wazima wote (kiumri), kwa wengine habari za saizi, kwa mashabiki wa Manchester United mjikande kwa maji ya Moto 7 sing'ori si mchezo.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, katika mchakato wa kusaka ajira, nimeona ni bora niichangamkie hii Jamii iliyonizunguka na hapo nikapata wazo la kuwa Motivational Speaker.
Sikukurupuka kama baadhi ya watu wanaosoma thread hii watakavyowaza au kuchangia, baada ya kutafakari niliona nina vitu muhimu ambavyo nikivisogeza kwenye Jamii tunaweza kuinuka. Kwasasa Tanzania na nchi nyingi zilizopo katika Ulimwengu wa Tatu (Yaani Maskini wa ku-tupwa 😂) watu wake wanakosa Elimu ambayo ni basic na ndio inayotakiwa kuwafikia raia hao ili kushtua bongo zao ili waache kumbwela kitaa.
Kijana barobaro anajiunga bundle la Wiki na kuingia TikTok akiwa anapepesa kope mbele ya kamera na kurusha makalio akisubiri comment kama hizi.
"Cute Dance" by LiliPopy
" 🥰" by Optyga_official na takataka nyingine nyingi. Sasa kwa ichi kizazi nimeona nikiingia kwenye kuwa-motivate nitatoboa, ninaomba nipate mbinu za kuifanya hii kazi.
NB: Kabla ya kutoa reply, fikiri mara mbili kuhusu hii post, ikiwezekana iangalie kwenye 'angle' ambayo itakusaidia kujua dhamira halisi ya mwandishi wake.
Sent Using Tecno H5