What do i do to remove her from my feelings??

gango

Member
Feb 24, 2010
32
6
ni miezi 5 sasa toka tulipoachana na mwenzangu but still she is in my head i dont want this, hali hii inanitesa sana
nifanyeje ili nimsahau !!

hapo kwenye title mbona hueleweki na maelezo yako ni fillings au feelings

inabd uweke assumption kwamba ameathirika ili hali wewe ni mzima,within 24hrs atakua permanently deleted from your mind!

Kwanza kabisa usipende kutumia lugha za watu kama huzijui vizuri. Nakuomba siku nyingine ingia jukwaa la lugha upate msaada wa unachotaka kuandika kwa lugha ya watu, utapata kujifunza, hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu. Unajidharaulisha unapoandika vibaya ama lugha yako ama ya watu, hata mada yako inakuwa haina maana tena.

get a life,go out there,make new friends. keep busy,kama inawezekana nenda kasome ndo utajinyakulia wa kuoa kabisaa. epuka vitu vinavyokukumbusha yeye kama muziki, sehemu za mitoko n.k. usikimbilie kwenye uhusiano mwingine,utaangukia palepale. ngoja nifuturu kwanza,afu tumuweke anapostahili...

Kwanza kabisa usipende kutumia lugha za watu kama huzijui vizuri. Nakuomba siku nyingine ingia jukwaa la lugha upate msaada wa unachotaka kuandika kwa lugha ya watu, utapata kujifunza, hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu. Unajidharaulisha unapoandika vibaya ama lugha yako ama ya watu, hata mada yako inakuwa haina maana tena.
Nime tambua mistake na nimesharekebisha natumai nitapata msaada wako kimawazo. thanx

Ni vigumu sana kumsahau mtu uliyempenda na kumpa nafasi katika moyo wako. Hata kama mmeachana kuna vitu ukiviona au mahali ukienda utamkumbuka tu.
Jitahidi kuepuka mazingira au kufanya vitu vinavyokufanya umkumbuke.

Acha ujinga ww ameachana jlo sembuse ww kama vipi tafuta kimeo kingine utasonga. kama yy hakukumbuki inakusaidia nn ww kumkumbuka? uboya huo. wameachana mume na mke sembuse uboy friend ebo.

Tafuta ile nyimbo ya taarabu ya Zuhura Shaabani wa Mombasa inakwenda hivi 'mtu akiwa hakutaki na wewe usimtamani, wala usijipe dhiki ukaingia fikirani ........' loh! beti nyengine nimesahau.

ni miezi 5 sasa toka tulipoachana na mwenzangu but still she is in my head i dont want this, hali hii inanitesa sana
nifanyeje ili nimsahau !!

I feel for you... hakuna njia ambayo ni shortcut wala dawa dear... you just work it out
yourself by facing the reality that she is no longer there.... And try find something new for a change...

Kwanza kabisa usipende kutumia lugha za watu kama huzijui vizuri. Nakuomba siku nyingine ingia jukwaa la lugha upate msaada wa unachotaka kuandika kwa lugha ya watu, utapata kujifunza, hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu. Unajidharaulisha unapoandika vibaya ama lugha yako ama ya watu, hata mada yako inakuwa haina maana tena.

umemsaidia kumpa mawazo,,,back to the topic how can u help him

Nime tambua mistake na nimesharekebisha natumai nitapata msaada wako kimawazo. thanx

Kwanza nakupongeza, nakusifu na nnakuheshimu kwa kuwa msikivu.

Ushauri wangu; Kama hamjaoana basi chukulia hiyo ni kheri kwako na iwe ndio njia ya kukutowa kwenye dhambi ya zinaa. Peleka posa rasmi kwao muoane kisheria na muishi kama mke na mume. Kama si mkeo / mumeo wa halali basi hayo uyatarajie kila kukicha hata mkae miaka mia, jee, kama anaweza kukuvulia nguo wewe ambae hamjaoana kinamshinda nini kuwavulia wengine?

Mmeachana kwa sababu gani? Maana ni ngumu kutoa mchango bila details. Nani kamuacha nani? Je mmeachana au umeachwa? Je alokuacha/ulomuacha ana sifa gani za kuendelea kukumbukwa? Nasema hivyo kwa kuwa inawezekana wala hastaili kukupa pressure bali umejiepusha na matatizo kwa ku break up nae but it depends on the story behind. Na kama wewe ndiyo chanzo cha tatizo then inabidi ujipange upya kwani hata utakaye mpata kama replacement atafanya the same kama hujabadilika.

Kwanza nakupongeza, nakusifu na nnakuheshimu kwa kuwa msikivu.

Ushauri wangu; Kama hamjaoana basi chukulia hiyo ni kheri kwako na iwe ndio njia ya kukutowa kwenye dhambi ya zinaa. Peleka posa rasmi kwao muoane kisheria na muishi kama mke na mume. Kama si mkeo / mumeo wa halali basi hayo uyatarajie kila kukicha hata mkae miaka mia, jee, kama anaweza kukuvulia nguo wewe ambae hamjaoana kinamshinda nini kuwavulia wengine?
Hivi futari siku hizi zinalewesha? inawezekana vipi ukapeleka mahali kwa msichana ambae mmeachana?

Mapenzi yana ngùvu zaidi mauti nimewahi kupita huko huwa inauma hakuna mfano na nimejifunza mengi unaweza kupewa ushauri wote still ukaumia tu!badili mfumo mzima wa maisha halafu jipende ww kwanza unaumia roho sababu hujipendi inavyotosha,na unafikiri alikuwa mpenzi wako ndio anakukamilisha,kuna kitu kimetoke kwa mens nowdays tunawathaminisha wapenzi kiasi kiasi unajiona ww si lolote kwake wakati mlikatana kila mtu ana maisha !JIPENDE WW KWANZA ukiona mtu anataka kujiua sababu ya mapenzi huyo hafai kupenda na bora aliachwa!LOVE Yourself ktk kiwango cha hali ya juu utaona thamani yako !na hakuna mtu atakayekusumbua nafsi yako! Sio kila mpenzi unamuweka moyoni tumia akili tu !

ni miezi 5 sasa toka tulipoachana na mwenzangu but still she is in my head i dont want this, hali hii inanitesa sana nifanyeje ili nimsahau !!
1st .. Note these Key words... KUACHANA ... SHE IS STILL IN MY HEAD.... I DONT WANT THIS.... NIMSAHAU!!2nd: You didn’t tell how it all happened ... there was a misunderstand? with.. resentments ..etc3rd: If there was any resentments … that means if there was an emission of negative emotions in the process ... You should first get to know what it all this means.4th: Negative emotions of hate, resentments, anger, worries etc ... they are MAGNETIC!!! They attracts what causes them and store it in ones mind..in your case it pulls your negative action which took place ...and see the Key words she is still n ma head... that is how it goes!!5th: Drop all the negative emotions ...and all will be well .... Try to forgive if anything on that line ... simply understand that you will never drop a disturbing thoughts/image.. at the same time you hold any negative emotions toward its nature...! Otherwise you will end up in what is ... LOVE HATE RELATIONSHIP ..!!

ni miezi 5 sasa toka tulipoachana na mwenzangu but still she is in my head i dont want this, hali hii inanitesa sana

nifanyeje ili nimsahau !!

jus forget her and move on with life.why should u stress urself 4 someone who doesn't care abt u?

Similar Discussions

Back
Top Bottom