- Thread starter
- #21
Mediocre characters that dont merit my response.
Wakuu tafuteni size yenu ya vijana wa darasa la saba, au kama wale wabunge wenu wa arusha.
Yawezekana si size yetu labda kwa kuwa unafaidi keki ya Taifa, hivyo unaona watu watakaoelewa haki yao basi na keki yako iko hatarini. Lakini pia huna uzalendo na nchi yetu. Tofautisha kauli ya Mh. Nassari kuwa ikiwa 1, 2, 3 hayatafanyika tunaweza kufanya 1, 2, 3 . Wezi wa EPA NA WAHUJUMU UCHUMI wamekwisha kuiba na kuhujumu uchumi wetu lakini Jeshi la polisi hata siku moja hatujawasikia wakiwahoji hawa jamaa ambao ni hatari kwa uchumi wa nchi na hasa kizazi kijacho nchi itakuwa imebaki mifupa tu. Unadhani mwanao hataathirika? Ona mbali mkuu, "Use Eagle Eyes".