Wewe unaonaje hili?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
[h=3][/h]

Ndugu zangu,


Vijana wengi leo wanaikimbia CCM na hawataki kuhusishwa nayo. Tujiulize; ni kwa namna gani vijana hawa watakuwa na mapenzi na chama kinachohusianishwa mara kwa mara, na kashfa kubwa za kifisadi. Kashfa zinazoathiri maisha yao?


 
Nyundo anayobomolea ipo kisheria kwani inapatikana katika bendera yao. Na akimaliza kutumia nyundo kubomolea ni dhahiri kuwa atatumia jembe ambalo nalo lipo katika bendera yao kuchimba msingi kwa ajili ya ukuta mpya. Cha kujiuliza ukuta mpya utakaojengwa ni wa material, kiwango, rangi zile zile ama vitu hivi vitabadilika?
.
 
Raha ya milele uwape hee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAmina
 
Back
Top Bottom