Weusi hawa wameweza vipi - Kabila tajiri kupita yote Afrika!

Wameweza kuendelea kutokana na kuwa na structure nzuri ya uongozi.
 
Wanaishi kama familia kwa upendo. Keki ya taifa lao wanaimega sawa kwa sawa. TUTAFIKAA???????
 
labda kwa vile ni population ndogo. Kama vp hii nchi yetu tuigawe zitoke nchi tatu hivi
 
leo ni siku yangu ya kwanza kufahamu kuwa kuna nchi ingine africa inayoitwa kwa jina hili, nimeangalia web yao, kwakweli wamejitahidi. hivi hawa ni independent from the republic of south africa? Ni mkoa/jimbo la souz au ni nchi? mbona haiko kwenye list ya nchi za dunia?
 
Mie ninabahati niko huku nafanya kazi na nimetokea kufanya kwenye province ya North west liliko hili Bafokeng Tribe( sio nchi), around Rusternberg, na kwa kifupi ni kwamba wao wamepewa fursa na Government as a Bafokeng Tribe kuendelea na zile royalities tax for any big investors especially on mining in their area na kuna minerals nyingi kwenye eneo lao , hivyo wanapata royalities tax nzuri ( percentage)kutoka kampuni za mining zinazo operate North west around their area like for platinum , Gold , etc na wana Chief wao na well established Royal Bafokeng leadership inayo reinvest pesa thro construction of infracture like freeways within the North West Province and they have erected some toll roads plaza for collection of money for returns on capital invested and use for maintainance of the those freeways.
 
Mkuu all in all ni consistency - good, commited and responsible leadership.
 
Nimewahi kuiona story ya hawa jamaa kwenye National Geographic, lakini sielewik kwa ninik nilikuwa sikumbuki. I remember the area being very rijch ikn platinum. I am still puzzled kwa nini nilikuwa sikumbuki to refute the echoes " Miafrika ndivyo tulivyo"
 
ni kweli, ndivyo mlivyo!
 
Ahahahahahahaaa...kumbe watu wenyewe ni Waafrika Kusini...that explains it. Sauzi kumejaa wazungu kibao kuliko nchi nyingine yoyote ile ya Afrika. So that explains it.
 
NN.. hawa jamaa tangu enzi za utawala wa kibaguzi walishawakatalia weupe kuchukua ardhi yao, soma historia yao utaona kwua viongozi wao waliona mbali sana na leo wanavuna matunda.. ukisikia ujamaa wa kiafrika huu ndio wenyewe. Hawa jamaa hawaendelea sababu ya wazungu wa SA.. wao wazungu walipokuja na kujaribu kuchukua ardhi yao kama walivyofanya the rest of SA walishindwa kwa sababu viongozi wao walishanunua 2/3 ya ardhi na wazungu hawakuweza! Na habari yao huwezi kuona ikitangazwa au picha za kwao kuoneshwa CNN, BBC na kwingine.. NG wataonesha watu wanaoishi maisha ya kale tu wanawinda winda, hawataonesha kabila la kiafrika lililoongozwa vizuri toka awali.
 
Forget about NG (kwanza hawa wakishaanzaga ujinga wao wa kuonesha wale watu weusi wa kule sijui Papua New Guinea mimi huwaga nabadilisha stesheni wajinga sana hawa watu wa NG), forget about CNN na BBC.....hata kwenye Africa Channel sijawahi kuwaona hawa. Au kwa nini TBC wasiende huko kutengeneza documentary? Tumekaa tumezubaa zubaa tu kusubiri hadi BBC au Deutche Welle waende halafu tuanze kupongeza au kulalamika. I get sick sometimes just thinking about things like this.....

Lakini pia huwezi uka-discount proximity yao na wazungu kuwa ndio imechangia kwa kiasi kikubwa hayo unayoyaita maendeleo yao. Hata Wamarekani weusi ndio weusi wenye hela zaidi duniani per capita....kwa nini? Kwa sababu ni raia wa Wamarekani...taifa tajiri kushinda yote duniani.
 
Back
Top Bottom