Werema v/s Shivji

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
tumeshuhudia wataalam wawili wa sheria hapa nchini wakitoa ufafanuzi juu ya njia bora ya kuandika katiba, kwa kuwa wametoa ufafanuzi kila mmoja kwa wakati tofauti huku umma wa watanzania ukionekana kuukubali ufafanuzi wa kisheri wa prof. Issa Shivji, na kutia shaka utetezi wa serikali kupitia AG werema ambaye badala ya kujenga hoja, anajitahidi kujenga hofu kwa wananchi kanakwamba wanapotoshwa! vyombo vya habari tukutanishieni hawa watu wachambue na wakipenda walumbane ili sisi wananchi tubaini anaetuzuga. naomba kuwasilisha
 
Prof yuko sahihi AG aliingia kwa mkwara kuwa yeye ni Judge lakini ameprove kuwa Joji phoji tu amewekwa mfukoni mwa CCM anatetea unafiki
 
tumeshuhudia wataalam wawili wa sheria hapa nchini wakitoa ufafanuzi juu ya njia bora ya kuandika katiba, kwa kuwa wametoa ufafanuzi kila mmoja kwa wakati tofauti huku umma wa watanzania ukionekana kuukubali ufafanuzi wa kisheri wa prof. Issa Shivji, na kutia shaka utetezi wa serikali kupitia AG werema ambaye badala ya kujenga hoja, anajitahidi kujenga hofu kwa wananchi kanakwamba wanapotoshwa! vyombo vya habari tukutanishieni hawa watu wachambue na wakipenda walumbane ili sisi wananchi tubaini anaetuzuga. naomba kuwasilisha

Werema ni Kilaza na ameshadhihirisha hilo mbele ya watanzania.
 
AG ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, yuko kwa maslahi ya serikali-anachotumwa na serikali ndicho anachotekeleza, haijalishi kina maslahi kwa umma wa watanzania au la...na anaitekeleza kazi yake vizuri humo bungeni na anapata support toka kwa watu ambao walipaswa wawe kinyume chake (wabunge wa ccm). Wabunge wa ccm nao hujiona ni sehemu ya serikali na hivyo kurahisisha kazi ya serikali kupitisha hoja za ajabu ajabu kiulaini tu eti kwa ndiyoooooooooooo
 
hellow, this is unfair, very unfair to Prof. Shivji, there is no way unaweza kuwapambanisha hao wawili, tafadhali sana lets do serious business, or else peleka hii kwenye jokes, please please
 
Aliniudhi Jaji Werema aliposema Profesa Shivji anarukia mambo. Inakuwaje Mwalimu awe juu ya mwanafunzi wake?
 
Back
Top Bottom