Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 93
Halafu msisahau 'King Abdullah University of Science and Technology'. Inafunguliwa sep 2009. Waarabu wameamua kudadeki!!
Hawa wachina, nani kawapa misaada ya kujenga haya madubwasha yote haya? Halafu kwa nchi za kikomunisti kama hizi ambazo hazifuati demokrasia ya kimagharibi au ubepari kama unavyofuatwa magharibi wanawezaje kufanya mambo haya yote?
Sidhani kama China ni Udikteta labda tuseme ni ule wa chama kimoja siyo wa mtu mmoja kama ilivyo Pyongyang.
MKJJ nadhani ungetake a break na ukakisoma hiki vitabu utapata majibu ya maswali yako
la muhimu mkitaka kujua kama hatuna hata hao madizaina wa uchoraji basi tazameni lile jengo la Bunge lilivyo baya na nasikia hjuyo SAMUEL SITTA kila kitu alikuwa anataka kifanywe anavyotaka yeye
Mzee Mwanakijiji,
Hivi jengo hilo lilijengwa lini vile?.. Je, kulikuwepo na ulazima wa kuwa na jengo kama hilo au benki iliyochukua zaidi ya Usd 500/m..wakati wenzetu Kenya wameanza mradi wa kujenga barabara kuu (Highway) yenye lane 8..Ebu soma hii habari roho itakuuma mkuu wangu.. Source

Mkuu sikukupata, come again,...One question though...........for how long we will keep on increasing these number of lanes.??
GT,
Ehhhh bwana weee... Daadadeki Mchina!