Ni zaidi ya miaka 35 toka serikali ianzishe serikali za vijiji ,ambazo ndio msingi wa maendeleo na demokrasia zikiongozwa na wenyeviti wa vjiji na vitongoji ,lakini viongozi hawa wamekua wakifanya kazi bila ya kua na posho wala mishahara na kupelekea kudhoofisha shughuli za maendeleo katika maeneo yao naombeni michango yenu