Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye sura kama hizi ndio wanaolewa kwa wingi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kenny Hill, Jan 7, 2014.

 1. K

  Kenny Hill Senior Member

  #1
  Jan 7, 2014
  Joined: Aug 26, 2013
  Messages: 60
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 8
  Ukiangalia asilimia - wenye sura kama hizi ndio wanaolewa kwa wingi.

  Common features - Tiny, Warefu, sassy, Wembamba, Sura ndefu, Unywele huu.

  Matokeo yake ni kwamba baada ya miaka 15 nchi itajaa vijana wenye sura nzuri tupu - demography na maphology ya wananchi Tanzania itabadilika compared na back n the 1980's.

  I am just thinking loudly!

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2014
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 8,127
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 113
  Source?
   
 3. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2014
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 12,742
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 38
  Huwa wanalewa nn??
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2014
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,825
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 63
  Matokeo yake ni kwamba baada ya miaka 15 nchi itajaa vijana wenye sura nzuri tupu
  - demography na maphology ya wananchi Tanzania itabadilika compared na back n the 1980's.


  Nimejaribu kusoma haya maneno kwa kurudia rudia lakini bado nimeambulia patupu.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2014
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,170
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 48
  Hako ka mwisho naweza kachumbia?
   
 6. m

  majeshi 1981 JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2014
  Joined: Dec 7, 2013
  Messages: 1,520
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48
  Wanaonekana wapole kweli kweli
   
 7. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2014
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 8,303
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 83
  ...

  ...aisee hujakosea ukidumbukia lazima umiliki!!!
   
 8. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2014
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,565
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 63
  Namba mbili naona kama ni sepetunga kabisa!
   
 9. serio

  serio JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2014
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,091
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 63
  Tuwekee picha ambazo ni Bongo Certified.
   
 10. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2014
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 8,296
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 63
  Mkuu
  mlete picha hapa umewasaidia watu Avatar
   
 11. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2014
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 11,078
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 83
  tatizo kwenye hizo picha nadhani hakuna mtanzania hata mmoja.....
   
 12. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2014
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,934
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  katika wote hapo hakuna hata mmoja alieolewa
   
 13. badiebey

  badiebey JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2014
  Joined: Nov 29, 2013
  Messages: 5,890
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 83
  Heehhehe,sifa mbona ninazoooo,NDOA IS ON THE WAYYY lols..lalalalalalla(singing)
   
 14. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2014
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 11,078
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 83
  [​IMG]
   
 15. M

  Mr Mr Senior Member

  #15
  Jan 8, 2014
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia?
   
 16. M

  Mr Mr Senior Member

  #16
  Jan 8, 2014
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe umeoa yupi kati yaho ulio waona ndo wazuri kwako?
   
 17. Himidini

  Himidini JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2014
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 5,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 48
  ^^
  Akina cheusi dawa mbona siwaoni?
  ^^
   
 18. kidonto

  kidonto JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2014
  Joined: Jan 5, 2014
  Messages: 885
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wanaonekana hawana Hatia kabisa viburudisho hawa, lakini..............!
   
 19. M

  MWANAKA JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2014
  Joined: Oct 4, 2013
  Messages: 1,931
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 38
  [​IMG]  Aise !!
  Nimeamini hakuna mbaya duniani uzuri upo dukani
   
 20. danali

  danali JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2014
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Kah! Aisee wengine wana majibu ya fasta
   
Loading...
Similar Threads - Wenye sura kama Forum Date
Wanawake wenye sura hii hudanganyika kirahisi sana Mahusiano, mapenzi, urafiki May 6, 2015
Wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wenye sura za kawaida sana/sio wazuri, sijui kwanini? Mahusiano, mapenzi, urafiki Apr 20, 2015
Wanaume wenye sura mbaya ndio waanzilishi wa kuhonga wanawake Mahusiano, mapenzi, urafiki Jan 12, 2015
Nawahurumia Wanaume wenye Sura Mbaya sana Mahusiano, mapenzi, urafiki Jan 8, 2015
Wanawake wenye sura kama hii ni MAJEMBE katika kutafuta......lakiniĀ…! Mahusiano, mapenzi, urafiki Nov 5, 2013

Share This Page