Wenye Mitaji na nia njooni tuwekeze pamoja kwenye biashara hii

Mnyakyusa Ipinda

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
439
1,526
Niende moja kwa moja katika mada.

I have business plan ambayo ninauzoefu nayo. Hii sio idea mpya bali ni idea ambayo inatumika sana nchi za China, Japan na Korea katika kutengeneza strong Companies na Group of Companies. Biashara hii ni ya retail. Kua na maduka makubwa yenye kuuza brand flani (Jina la brand lipo lakini pia maoni ya wanaboard yatazingatiwa)

Kuna companies tofauti tofauti nchini China za products designs na manufacture Co. ambazo niliunganishwa na boss wangu mmoja Mchina ambae ni moja ya brand designer wa kampuni flani inayofanya viziri sana Duniani , na niliweza kuwasiliana nao kwa wakati ule kujua mambo mbalimbali. Pia boss huyu alinipa mchanganuo wa gharama za kuweza kuanzisha kitu.kama hicho. Na kusisitiza ni vizuri kama mkianza na uwekezaji wa pamoja.

Kuhusu Mambo Muhimu Kwa Anaetaka Kujiunga Kujua How And In Which Way This Will Work.

*Tuta Appoint kwanza Chairman, katibu na viongozi wengine wa muda kipindi cha kikao

1. Tutafanya kikao cha pamoja kujadili hii Project/Business ambayo nitaiwasilisha na kuelezea mpango mzima. Hii tutaweza kufanya hata kwa Zoom au whatsapp live groups (sasa hivi unaweza kufanya group video call kwa whatsapp).

2. Watakaoona inafaa tutaandikisha kampuni husika Brela kama kampuni ya watu wengi na sio personal business, tutajadili jina la biashara , tutashirikishana maoni mbali mbali ikiwemo kupata vibali vyote muhimu na eneo la investiment (mimi ninayo plan yangu ila mawazo pia yatachangiwa).

3. Mchanganuo mzima wa expenses na shipping issues, rent, kuajili staffs etc nitapresent mchanganuo wake according to calculations then pia nitapresent the secret ya kufanya hii business currently etc na tutajadili kwa pamoja.

4. Tutachagua Bank ambayo itafaa then tutafungua join account na kuweka signatory kuanzia wa5 nakuendelea vile tutakavokubaliana (sio lazima mimi niwepo), hii ni kuonesha kwamba everything inakua controlled na wawekezaji wote. Ningependa zaidi kua mtendaji tu sababu i know well na ninambinu zote za.biashara na pia kutrain wengine nk.

5. Mchakato utaanza kwa kwenda China (hapa sio lazima ili kuepuka gharama , ila kama tutakua serious is best if tukaweka budget ya watu wawili ili kuenda kuweka sawa kila.kitu) japo kuna wachina akiwemo x-boss wangu na anaconnection zote na viwanda vizuri vya manufacturing, brands na packaging (sababu target ni kutoa mizigo yetu direct from viwandani) na hapa kumbuka ni viwanda na kampuni nyingi so kama tukiwepo tutafanya best ikiwemo kujua kampuni nzuri za usafirishaji na vibali vyote then baada ya hapo inakua ni communications tu na mzigo unafika.

6. Then kutafuta warehouse (ndogo tu kwa kuanza) sababu tutaanza na one store/shop, pia tutatafuta sehemu ya kuanzia, it will be best kama tukianzia Dar na hapa tutajadili tu ni mall gani au eneo gani tuanzie, sababu targeted clients wetu watakua from low income japo middle income and high income ndio itakua zaidi.

7. Setting up our POS System, security system, na jinsi kampuni itakavokua ikifanya kazi (stages of command) (hizi zipo ni kuzireprent tu pamoja na mambo muhimu.
*POS System tunaweza kutumia wataaram wazawa kutuundia ili ku cut cost, na pia Shelves na shop design tutatoa china moja kwa moja sababu ni rahisi zaidi na high quality.

8. After that tutaset up everything ikiwemo price settings na mambo mengine ambapo prices zetu tunataka ziwe very affordable na ziattract clients wa level zote, "high quality products, affordable prices"

9. Target yangu mimi ambayo ni very easy to reach ni kuuza 2M per normal days, 4M Fridays, 6M weekends, and 5M in holidays.
Lakini marging (minimum) isishuke 2M per day, ambapo per week ni 14M, per month ni 56M, hapa nimeweka vigezo vya minimum (ambavyo kwa uzoefu wangu, hiko ni kiwango.kidogo sana kwa siku sababu huingiza zaidi ya hata 3M per normal days na weekends hadi 10M per day. Hapa ninejaribu tu kuweka ile minimum line yetu since tutakua new in market.

10. Then after all expenses be deducted then wale wamiliki wa kampuni watapata ngao according to percentage ya uwekezaji wao (HISA) na kubaki na company profit ya kuendeshea kampuni (MTAJI)

Nimejaribu kuelezea juu juu ili iwe rahisi kwa mtu kupata ile image ya whats going on. Hivyo.kuna details nyingi ambazo nimeziacha, japo haya nilioonesha hapa.ni ya at least kuzingatiwa zaidi.

Ifike mahali watanzania tuanzishe big brands zetu kwenye RETAIL industly (Chain Stores) ambazo zitafanya vizuri, lakini hili haliwezekani kwa mtu mmoja especially mimi ambae sina mtaji wa kutosha. Watu wanafungua makampuni kama
Carrefour,
Lc Waikiki,
wallmats,
Rex Trueform Clothing
Zambeef
Label’Vie, Morocco
JD Group S.A
Mr price,
Woolwoth
Miniso
Daiso
GOME Retail Holdings Ltd.
Easyhome New Retail Group Co. Ltd.

na mengine mengi, huezi amini watu walianza with very small one store ila leo wako na more than 1000 stores dunia nzima, siri ni kutengeneza good products designs (sio lazima uwe na kiwanda msiogope), attractive designs, good quality kumaintain trust, good company policy, competitive prices and good customer care, and everything is on set.

We can do it, nahitaji watu wenye nia, we can do it,

Kwa kuanza 250M inatosha kabisa, na ingependeza kama let say wangukua watu 25 wa kuanza katika board, yani each person ainvest 10M Tsh for the start, na all things will be under control of these 25 people, kwa hiyo hata wale wenye wasiwasi na hii investment msijali, mtacontrol na kuwa karibu na uwekezaji wenu. Sisi wengibe tutakua watendaji tu (mmetuajiri).

Plan is ready ni wewe kuja kuthibitisha na kujiridhisha kisha ufanye maamuzi, we can do it.

Karibu.

UPDATES:

Hii ni whatsapp group link, Join hapa.

Una idea kubwa sana ya biashara japo kuna kitu sijaelewa What are we retailing au what are selling....
Good question, hii ni chain store, haitakua kama supermarket, sababu haitakua inadeal na aina yoyote ya vyakula au any other groceries, itakua ni sehemu ambayo watu wakihitaji neccesary things katika maisha yao ya kawaida na ya kikazi basi wataifikilia kwanza.

Hizi ndio department tutakazo deal nazo
-Electronic depart
-Fashion and Style Depart
-Sports Depart
-Beauty & Frag Depart
-Kids and Toys Depart
-Homeware Depart
-Kitchen Depart
-Car accessories &
-Stationary Depart

So nadhani umepata picha kupitia departments, so hapo katika departments kutakua na aina tofauti tofauti, kifupi, mtu akitaka kufanya shopping basi achague kwetu kwanza , first atapata unique products, affordable prices, quality products and good advise.

*Remember, our products will be a brand, so every product itaitwa jina moja la brand yetu. Mfano tukiita brand yetu BRADA, means mtu atapata BRADA powerbanks, BRADA shoes, BRADA pens, BRADA backpacks, BRADA handbags, BRADA glasses, BRADA toys, BRADA flyingpans, BRADA sandles, BRADA car wheels, BRADA speakers, BRADA microwaves, BRADA hotpots, BRADA towels, BRADA door stopers, BRADA perfumes, BRADA mascala, etc.......
 
Kwa sasa unafanya shughuli gani na je huko nje umeshawahi kwenda nchi gani na kufanya nini? Ukinijibu nitaendelea
 
Iko vizuri sana hii idea sana sijajua nani yupo na access au ufahamu wa hizo biashara maana unajua tena biashara lazma iwe na experienced guy japo ni wazo zuri sana
 
Mimi nina waombea kwa Mungu hii idea iwe reality mana sina hata robo ya 10m ila nina imani dua yangu itawafikisha mahali.

Plz ikitokea fursa hata kupanga mizigo store nipo tayari
Mungu ni mwema mkuu, yeye akiruhusu hili jambo litokee hakika itafungua mlango kwa watu wengi na itafanikiwa sana, Mungu atakua upande wetu hakika.
 
Back
Top Bottom