WENJE MB(CHADEMA) kunguruma LEO MWANZA

Sasa mbona uko humu unakimbizana kupinga mambo ya chadema, yanakuhusu nini sasa, kaa kimya waache wanaume wajadiliane mambo yao yanakuwashia nini. Utafikiri kiananihiiiiiii
Kwani Sheria na Kanuni za JF. zinakataza watu wasiokuwa na chama kuchangia humu JF?
 
Huyu Mkenya ana jipya watu wameishamchoka na porojo zake. Tena Machinga na kina Mama lishe hawataki hata kumuona.
Ndio maana huo mkutano unafanyika Bugarika, kwa wale ambao hawaijui Mwanza eneo la Bugarika wanakaa wageni kutoka Kenya, Mara, Tarime, Sirali, Nyamongo, huo ndio ukweli kwa mfano Dar es Salaam kila sehemu na watu wake, maeneo ya Kisutu mpaka Posta wakaa Wahindi, Kimara Bonyokwa, Kimara Temboni, Wanakaa Wachagga

Haimati nani anakaa Bugarika, je hilo eneo la Bugarika ni sehemu ya jimbo lake? Tusitafute lugha za kuwatenga watanzania............Ooh sorry nilikuwa sijaona jina lako hapo juu. Nilishasahau kuwa ndani ya magamba kuna tatizo la ubaguzi.
 
Wakuu

Mbunge wa Nyamagana Ezekia Dibogo Wenje,MB(CHADEMA) leo atakuwepo katika viwanja vya sahara kuanzia muda wa saa tisa alasiri akizungumza na wananchi.Pamoja na mambo mengine atatoa taarifa ya utekelezaji wa mambo kadhaa aliyotumwa na wananchi katika mikutano iliyopita.

Shamra shamra zilianza tangu jana wananchi katika maeneo mbalimbali ya jiji hususani eneo la Bugarika ambapo walikuwa wakiimba wenje wenje mida ya jioni gari la matangazO lilipokuwa likipita wakionyesha furaha yao kwa matengenezo ya barabara yao iliyowatesa kwa kipindi kirefu

Wote mnakaribishwa.
wewe mzushi wewe.unadanganya watu umeahidiwa wali au nyama? niko mwanza na naishi bugarika wameimba saa ngapi na sisi hatujawaona?
 
NDOFU,
Mimi sio CCM kwanza tambua hivyo. Mimi sio mtumwa wa vyama vya siasa

Sasa mbona unaponda chadema na kusifia ccm tu?! Kuhusu Wenje kuwa Mkenya' hv hauoni kuwa wazungu ndio walitugawa hivi hapa Kenya,hapa Tanzania na isingekuwa wao tungekuwa nchi moja Africa,kama kweli umejitambua ni haki kweli kumbagua mkenya aliyezaliwa Tanzani na ukawa upande wa Mwarabu Rostam Aziz? Hata wewe unajua mabaya ya ccm na unatambua kabisa uwezo mdogo wa viongozi wake' hata kama unapinga basi pinga kwa mantiki!
 
mkutano umeisha, kikubwa alichoonge ni kuhusu masharif, akampa Kabwe(mkurugenzi wa jiji) wiki moja shule ya msingi Pamba ifunguliwe baada ya kufungwa kwa kukosa choo, ardhi kasema kaishaongea na Prof Tibaijuka na kakubali kuja kujionea mwenyewe tatizo hili. Kakanusha yeye kuchochea vurugu za wamachinga, inshort ndo
 
Sasa mbona unaponda chadema na kusifia ccm tu?! Kuhusu Wenje kuwa Mkenya' hv hauoni kuwa wazungu ndio walitugawa hivi hapa Kenya,hapa Tanzania na isingekuwa wao tungekuwa nchi moja Africa,kama kweli umejitambua ni haki kweli kumbagua mkenya aliyezaliwa Tanzani na ukawa upande wa Mwarabu Rostam Aziz? Hata wewe unajua mabaya ya ccm na unatambua kabisa uwezo mdogo wa viongozi wake' hata kama unapinga basi pinga kwa mantiki!
NDOFU,
Uzuri JF, uwezi kuficha kitu posts zote na thread zote za kila member zimeifadhiwa.
Ebu ingia kwenye profile yangu halafu njoo na badiko langu lolote ninaloisifia CCM, ukifanya hivyo kuanzia leo najipiga BAN ya maisha
 
wewe mzushi wewe.unadanganya watu umeahidiwa wali au nyama? niko mwanza na naishi bugarika wameimba saa ngapi na sisi hatujawaona?
<br />
<br />

unataka kila kinachofanyika uwepo ha ha ha hii ngoma inazama
 
<br />
<br />
acha ujinga ww, ata mkutano unapofanyika ujui alafu unabwabwaja ma upupu yako, sahara iko bugarika? Nadhani we ni mgeni Mwanza.

Mwambiye huyo fataki.

Taarifa ya jana wkt wenje akiongea na wananchi, mengi yalizungumzwa. nitawatajia machache.

1. Suala la usafi wa jiji.
katika hili, sheria mpya iliyozinduliwa 01-08-2011, imeonekana ina lengo la kuwakomoa wakazi wa Mwanza. imeeanza kutekelezwa wakati miundombinu ya utekelezaji wake hakuna. kinachoonekana hapa watu wameichukua sheria hiyo na kuigeuza ATM ya kujipatia kipato. hapa masharifu na viongozi wa serikali za mitaa wanahusika.

tamko la wenje ni kwamba, sharifu haruhusiwi kukagua migahawa, majumba ya watu na maduka ya watu, kwani ni ukaguzi huo unaoendana na unyanyasaji wa wananchi. pamoja na kuitaka halimashauri ya jiji kuweka dust bean kila kona kabula ya kuanza utekelezaji wa sheria hiyo, wenje amewataka masharifu kuwepo mitaani na wakiona takataka mtaani/barabarani waziokote na kuziweka kwenye bin hzo.

2. migogoro ya viwanja/ardhi.
mbunge alimtuhumu mkurugenzi wa jiji bwana W. kabwe kuwa ndiye chanzo, aliwataka wananchi iwapo ataaendelea na kazi yake ya kunyang'anya maeneo ya wananchi ili ayauze kwa bei kubwa kwa wananchi hao, wananchi hawatampiga, bali wataendesha operation ya kumzomea mpaka ahame mwenyewe jiji hili.

3. amekataza wazazi kuchanga fedha kwa ajili ya kununua chaki shule za msingi. anasema tayari bajet imesha pitishwa anahoji michango hiyo ni kwa agizo la nani na kwa sheria ipi. hili linaenda sambamba na kutoa michango ya madawati,

aliwaambia wananchi kuwa, suala la kutoa michango ya maendeleo, sio sheria/lazima bali ni hiari ya wananchi wenyewe.

yamezungumzwa mengi, naomba niishie hapo.
 
Sasa mbona unaponda chadema na kusifia ccm tu?! Kuhusu Wenje kuwa Mkenya' hv hauoni kuwa wazungu ndio walitugawa hivi hapa Kenya,hapa Tanzania na isingekuwa wao tungekuwa nchi moja Africa,kama kweli umejitambua ni haki kweli kumbagua mkenya aliyezaliwa Tanzani na ukawa upande wa Mwarabu Rostam Aziz? Hata wewe unajua mabaya ya ccm na unatambua kabisa uwezo mdogo wa viongozi wake' hata kama unapinga basi pinga kwa mantiki!

ndofu wakumbushe, si kila mtu alisoma historia
 
Ritz acha kuadaa umma nyamagana wanampenda mbunge wao. wewe acha fitina kama umetumwa hapa sipo
 
asante kwa taarifa kwa ufupi amejitahidi kurudisha majibu kwa wananchi wake
 
Back
Top Bottom