Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 228
Dah ni kweli nilikuwa sijui na hata nikifuaga huwa siifungui ng'oooo
Ndo maana kinundu chake huwa hakitakati.
Dah ni kweli nilikuwa sijui na hata nikifuaga huwa siifungui ng'oooo
Mkuu umemstukia Ka copy na ku Paste? Vipi salama lakini mkuu rejao?Mkuu siku nyingine ukileta post kama hii uwe kabisa unasema ni kwa hisani ya nani!
Mfano hii ni kwa hisani ya Michuzi Blog
MICHUZI: somo la leo: Jifunze namna ya kula kitanzi