Wema Sepetu

Sep 3, 2014
11
3
Yote Yanayosemwa ikiwemo Issue ya Kuajiriwa na Kajala.
sikiliza Wema Sepetu Akizungumzia Yote Yanayosemwa ikiwemo Issue ya Kuajiriwa na Kajala.
Kupitia mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala.

Kupitia You heard ya XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeyeWema,Wema Sepetu akamjibu'Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy'
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu 'Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata bure nitafanya kazi kwa Kajala,shughuli yoyote nitafanya Soudy.

Soudy Brown alipomuuliza kuhusu fununu za Meninah kutoka na Diamond,Wema amejibu 'Mimi sijui Soudy bwana na wala sijali'.
 

Attachments

  • wema+(8).jpg
    wema+(8).jpg
    6.6 KB · Views: 3,202
Hivi picha za uchi zinazouzwa ktk makutano ya barabara zikimwonyesha huyu kuwa ndo kacheza ni za kweli ama jamaa wanamsingizia? Maana wanafuata watu wenye magari na kuwaonyesha picha hizo eti ni za kwak, mimi sijawahi kununua kama kuna mtu alishawahi anijuze
 
maisha foleni ,mungu hana upendeleo tusubiri ndoa ya wema na msaga sumu yule wa vigodoro
 
Huwa sipendi kuongeza kuhusu hawa binadamu wenzetu. Sababu kadri mnavyowajadili Ndio mnawapa kichwa kupanuka.
"Hayatuhusu"
 
Halafu kutwa tunalalamika maisha magumu, bora kuzaliwa mbwa ulaya, kukicha >> Wema Sepetu, tukilala >> Wema Sepetu, hivi kweli huyu Wema ndiyo uzalishaji? ni kitu gani tuna gain kutokana na kuzungumzia watu? kwanini hatuzungumzii namna ya kukabiliana na changamoto za kimaisha? inasikitisha kwakweli
 
Hapa kuna watu kama dinazande na warombo sorry warumi wanakasirika.

Huyo bhna scandal zake sasa ivi hazisisimui, maana tumeshasikia karibu kila kitu tena za zaidi, so apa ni marudio tu wangu, unajua kuna mastaa wengi sana ambao watu wanapenda kusikia kutoka kwao, sasa huyu mama ubaya mambo yake yote ya siri na ya bayana yanajulikana so umbea wake haunogi, labda siku wakifunga ndoa na ndomo at least italeta tija now kwa kweli dah hana mpya, au sio Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Huwa sipendi kuongeza kuhusu hawa binadamu wenzetu. Sababu kadri mnavyowajadili Ndio mnawapa kichwa kupanuka.
"Hayatuhusu"

Halafu raha ya umbea upate kitu kipya yani exclusive, sasa umbea wa mama ubaya hausisimui tena siku izi, maana tunajua kila kitu chake so hanogi bhana kwa kweli imekuwa too much
 
Wema Sepetu.....Wema Sepetu...Wema Sepetu... Siku ukimsikia kaja kwenu basi utakuja kutuhadhitia hapa! acha ushamba dogo
 
Back
Top Bottom