Wema Sepetu Gambani

hii ya kutumia rasilimali zetu kwa staili hii inaniuma sana......hapo wamewezeshwa Per diem na honorariums
Kumbe ndio maana mkulu hakosi kwenye mazishi ya wasanii ili kuwavuta waanze kuvaa green shirts? Haya bwana ngoja tuone mvuto wao kuelekea 2015 hasa pale watakapo anza kuonyesha vyupi hadharani ili kuleta mvuto kwa chama chetu [pendwa CCM]. Ila nina hakika kule kijijini kwetu hata akiacha paja nje atatolewa kwa bakora
 
Jamani hata akili ya kufikiria hakuna. ..shughuli kama hiyo mtu sijui ndo mgeni rasmi anatinga na tight yeah skintight ndani ya watu wazima wenye heshima zao.

Bongo ...its long way guys

Wakati fulani nikiwa Bagamoyo Sekondari, alikuja Mwl Mazengo, kama Headmaster mpya. Alikuta shule ikiwa na uhuni mwingi. Mathalani, hatukuwa na utaratibu wa kuoga laundry/bafuni. Tulioga nje kwenye vichaka kukwepa fangas. Watu walikuwa wanakula sana bangi na ijapokuwa vipindi viliisha saa nane na dakika arobaini, saa saba kamili tayari watu walishajaa mwabwenini wamelala. Kila alipokuwa akiuliza mbona mnafanya hivi, wenye guts walimjibu, 'Ndivyo tulivyozoea'. MadameX, hawa ndivyo walivyozoea, kukaa uchi kuonesha rangi za vichupi vyao ili angalau tuu wapate wakuwatongoza! I wish wangekuwa sekondari my sweet mom gfsonwin avikomaze vipaja na viwowo vyao (kama bado havijakomaa) kwa bakora. Hivi si bado wanafunzi wanaruhusiwa kuchapwa?
 
Last edited by a moderator:
View attachment 78944
Wema akimkabidhi sh. 500,000 mmoja wa wananchi wa Kwadelo walioathirika na mafuriko. Kwa mujibu wa Diwani Kariati (wapili kushoto), fedha hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Meembe ambaye ni mzee wa heshima wa kata hiyo.


sijaelewa sana hii.......................................
mbona anampa hela kwa mkono wa kushoto.......au nimeona vibaya.
 
chakula ya bosi public figure..............................lakitano ...kweli njaa inauma..............gharama ya kufika hapao watu wote si inazidi walichochangia........
 
Jamani hata akili ya
kufikiria hakuna. ..shughuli kama hiyo mtu sijui ndo mgeni rasmi
anatinga na tight yeah skintight ndani ya watu wazima wenye heshima zao.

Bongo ...its long way guys

Yuko ki biashara, mauzo popote...
 
Back
Top Bottom