Wema na kujikomba kote kwa aunty ezekiel atoswa kwenye birthday

Aunty ezekiel kweli ka move on past wema.. Pamoja na wema kujikomba kote kumuwish happy birthday aunt na kumpost mapicha kibao insta, aunty ezekiel kamkaushia mikausho mikali na hata hajamualika kwa birthday yake leo. Kweli wema kaisoma namba na leo ni namba 168.
Nahisi zarithebosslady katumia cheo


Haijadorora hiyo party iko kiutu uzima siyo kigodoro
 
Iyobo yupo kama mgeni alievamia shuhuli yaani hata hajiamini maskini ya Mungu weeee, kuoa hawa waigizaji lazima nawe uigize maisha, amekosa hata kazawadi ka boxer jamani kwa mzazi mwenzie?! maana hawa wanawake wa bongo movie wamezoea zawadi zinazotembea.
 
kufanya birthday part huku ukiwa umepanga, ni uthibitisho tosha wa tafiti ya hivi karibuni.Ktk watz wanne mmoja kichaa.
 
Back
Top Bottom