Weekend hii; Kabla ya lolote muulize "Tuko wangapi?"

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Maana yaweza kuwa mko 39 na akiongezeka mmoja tu mnafikia 40, si mnajua waswahili wanasema za mwizi ni 40? So hiyo 40 yenu itakuwaje..........ni wewe mwenyewe kuamua kwa kuuliza sasa "Tuko wangapi?"
 
Wewe unajua mpo wangapi au unataka tuu kujua ya watu..
Mi nimeuliza nikaambiwa tuko 11 sasa ndio najitathmini kama niendelee kupambana au ninyooshe mikono juu
 
Mi nimeuliza nikaambiwa tuko 11 sasa ndio najitathmini kama niendelee kupambana au ninyooshe mikono juu

Pambana bado mpo wachache ila mwambie mkifika 25+ akutaarifu ujivue gamba..
 
Mr Jr una mambo wewe,sisi tupo 2 sasa iweje
UPOPO, kama bado mpo wawili tu wala hata haina haja ya kuuliza maana hiyo inaonyesha namna mlivyo waaminifu maana mna kadumu kamoja tu hata chain haijaungana bado......Lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom