week-end njema:kwako wewe uliyekata tamaa ya kuolewa/oa.

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
HII KWAKO WEWE ULIYEKATA TAMAA YA KUOLEWA AU KUOA.

kabla sijaanza kujipodoa kuelekea ktk kiofa cha dinner alichonipatia barafu wa mtima wangu,ningependa kuwaachia zawadi hii.

:A S-rose:lav you all.:A S-rose::A S-rose:

Henry Kerr 97 na Valerie Berkowitz 87 raia wa uingereza huenda wakawa ni watu waliovunja record kwa kuoana wakiwa na umri Mkubwa(vikongwe), mmmmh kweli mapenzi hayana umri.
Kilichonifanya niweke hii post ni kuwapa faraja wale wote waliokata tamaa ya kuolewa au kuoa kutokana na umri wao, It is never too late to get married.
 
ndoa ni mafarajo btn two
wangap wameoana wakazaa watoto 11 stl amani wala furaha akuna?
wangap wameza watoto wakafa mwsho wa siku wakabak wao tu?
wangapi wamezaa watoto wakawa mwiba?wakawa mateja,makahaba,watoto ewasiokuwa na dabu mwsho wa siku mpk wakawish wasingezaa?
WATOTO Z NTHNG ..........NDOA IZ BTN U N YEYE.
watoto mapambo bt not crucial.......even thou ..............NENDENI ...........MKAONGEZEKE........
 
makofi kwako tafadhali.sikupigi nakupigia.lol.
 
Back
Top Bottom