Weeekend Njema Na The Marley Brothers

attachment.php
 
kila nnapopata majonzi au kuwa bored naimba wimbo wowote wa bob! Hakika huwa napata nguvu na courage! Wake up and turn i loose, coz the rain is pourin' got to have kaya now, kaya, kaya....we ll' be forever luvin Jah
 
Marehemu Bob alikua anachoma ile mbaya lakini jamaa alikua anapata wapi nguvu ya kuzalisha namna hii?? Na bado nasikia kuna wengine wa kike!

attachment.php
 
Back
Top Bottom