Wedded to a dog

DJ BABU

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
209
0
dogie_weddings_42.jpg

hivi kiama lini?
 
siku ya kifo chako ndio kiama chako.only GOD can judge.wala sio tafauti na hisia zako kua kunasiku dunia itaangamizwa.kila mtu atahukumiwa kivyake na kwamuda wake.
 
Sidhani kama ni kweli.Mme wake yupo pembeni picha haijaonyesha ila bibi arusi alipiga picha na mbwa wake tu.
 
Miaka michache ijayo wazungu watakuwa mataahira na watahitaji msaada toka kwa waafrika

Watahitaji msaada to kwa Asians, siyo Waafrica. Waafrica tunaiga sana utamaduni wa wazungu. Waasia hawaigi ovyo ovyo. Kila wafanyacho wazungu tunakiona kizuri.
 
wazungu wengi utaona wamefuga mbwa, hasa vile vidogodogo kama vipaka, kazi yake unaijua? wanavipeleka vimbwa chumvini, hata hayo makubwa yanaenda chumvini kwa wazungu, ndo maana mzungu anaweza kumpenda mbwa kama binadamu kabisa...huo ndo uchafu wa wazungu jamani.
 
na akifa anaandika urithi utumike kumlelea mbwa wake kwenye animal asyl...upo hapo?
 
Miaka michache ijayo wazungu watakuwa mataahira na watahitaji msaada toka kwa waafrika

Kwi kwi kwi kwi! Dua la kuku halimpati mwewe!

Waombe msaada kwa watu ambao wananunua mabomu kwa ajili ya usalama lakini yanaishia kuwalipukia wenyewe na Rais anacheka cheka tu!

Wazungu hata waamue kulala miaka hamsini bila kufanya chochote bado waafrika tutatembeza bakuli kwao!
 
wazungu wengi utaona wamefuga mbwa, hasa vile vidogodogo kama vipaka, kazi yake unaijua? wanavipeleka vimbwa chumvini, hata hayo makubwa yanaenda chumvini kwa wazungu, ndo maana mzungu anaweza kumpenda mbwa kama binadamu kabisa...huo ndo uchafu wa wazungu jamani.

Mazungu manaume yako busy kufikiri litaifanyia nini ili dunia hii ili lije likumbuke na vizazi vijavyo, muda mwingi hayafikirii Kut*mb*na (Siyo ngono), hali hiyo wanawake wanabaki na ny*eg*e mpaka wana tafuta mbadala. Ndo maana utakuta huko midildo ni mingi na tujibwa jibwa tunatolelewa kama binadamu.

Wabongo almost 80% ya mawazo yetu ni fufyagiana na ufisadi. Si unamuona Mswati, Zuma, na JK anavyotiuwakilisha! Tutapata maendeleo kweli?
 
Back
Top Bottom