Weblog ya CUF

Ahsanteni ila naomba awali kuli mtueleze kwanini chama chenu kinahusiswa na jazba, hasira na vurumai .. sasa wengine wanavuka mipaka wanahusisha tabia hizo na dini .. which in fact inaniudhi .. badilikeni please

mm naima sina chama
 
CUF badilikeni.....mnaanzisha Blog wakati mnatakiwa muiendeleze website...?

Please waambie wahusika wasimamie official website...Blog wawaache waandishi wasio na ofisi maalum....

naima nafikiri hizo ulizoziweka CUF hawawezi kujibu..its like Chadema walivyosimama kidete Tarime....mtu aje aseme chadema watu wa Vurugu...Ktk Kuitafuta Haki lazima watu wawe tayari for any cost!!!!
 
Back
Top Bottom