We should be doing more of this, and less of politics

geek

Member
Feb 12, 2009
83
4
We should be spending more time and resources kufanya mambo kama ya jirani zetu Rwanda. Hivi sisi Tanzania tunachoshindwa ni kipi kuwa na fleet ya internet buses kama hawa jamaa?

Are we really serious? Ninakerwa sana, lakini labda kama walivyo wengi wetu hatujui tufanye nini kubadilisha mwelekeo wa nchi yetu, we helpless. Walio madarakani hata hawana idea, au kama wanayo basi wamegoma kuwasaidia wale wasiokuwa na nguvu za kisiasa. Bofya hapo chini usome, kisha linganisha sisi tunafanya nini katika nyanja hiyo.

Rwanda Internet buses

Rwanda Development Gateway
 
Last edited:
we should be spending more time and resources kufanya mambo kama ya jirani zetu rwanda. Hivi sisi tanzania tunachoshindwa ni kipi kuwa na fleet ya internet buses kama hawa jamaa?

Are we really serious? Ninakerwa sana, lakini labda kama walivyo wengi wetu hatujui tufanye nini kubadilisha mwelekeo wa nchi yetu, we helpless. Walio madarakani hata hawana idea, au kama wanayo basi wamegoma kuwasaidia wale wasiokuwa na nguvu za kisiasa. Bofya hapo chini usome, kisha linganisha sisi tunafanya nini katika nyanja hiyo.

rwanda internet buses

rwanda development gateway

watusi ni another level kabisa....ndo maana wanjiita black jews.
 
Back
Top Bottom