We Must Stop Over-dependence On Foreign Nations – Palmer Buckle

We Must Stop Over-dependence On Foreign Nations – Palmer Buckle | Social | Peacefmonline.com

Viongozi wetu wa dini naona mko kimya kuhusu ili au ndo mnamwachia JK na serikali yake!
Ila Anglicans itabidi wakae kimyaa tuu wasije kosa mwana na mbeleko maana wana mpka maaskofu mashoga

ohh Yes, maana hata cameron ni mwanglikana
Nadhani pia wakati umefika kwa nci za kiafrica kujitoa Jumuiya ya Madola. maana UK inajali sana issues na interests za USA kuliko ilivyokuwa zamani. Jumuiya ya madola haina manufaa tena, bora hata klabu cha pombe za kienyeji watu hubadilishana mawazo yenye mashiko kuliko hii kitu.
 
Unajua huwa nawaza ingekuwa enzi za Nyerere wakati Cameroun anatoa ilo tamko angetoka nje tuu!
Tukiacha kutegemea misaada lazima tutajua namna ya kupata plan B
 
Back
Top Bottom