Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,354
duh jf kiboko
So, as long watoto wa uswazi (kama unavyowaita mwenyewe) hawaingii huko basi watoto wa mahali pengine "shauri zao" sio?
Mkuu mfano uliotoa hauna relation yeyote na hoja yanguKwa logic yako hii makampuni ya tumbaku yasingewekewa sheria inayowataka kutoa tahadhari juu ya athari za matumizi ya tumbaku. Kusingekuwa na sheria pia inayokataza kutangaza junk food. Not everything that is accepted by law is moral!
Mkuu mfano uliotoa hauna relation yeyote na hoja yangu
Utafananishaje sigara na blog?
Sigara inasababisha madhara ya kiafya blog ya mange inasababisha nini??
Ile ni media yet ni entertainment media ipo na itaendelea kuwepo wasema inafundisha wadada ukahaba toa mfano??
KUOLEWA na wazungu ndio ukahaba nenda baraza la kiswahili wakufundishe maana ya neno kahaba still bado hakuna mtu wa kunipa strong reason ya kwanini voda waache kudhamini blog ya mange....
Na still nashindwa kuelewa imekuwaje umeweka mfano wa sigara na junk food hapa tunaelewa ni jinsi gani dunia inahangaika kupambana na cancer, obersity, na magonjwa mengine sugu so suala la sigara lina warning lakini still inaendelea kuuzwa
Watanzania inatubidi tuamke hasa kwenye suala zima la mitandao.. And internet business strategy ni najua hata decades mbili hazijafika tokea internet iingie tanzania ila taratibu tutafika tu...
ungesoma mstari kabla ya huo ulioweka red nimesema "tuwafunze watoto kilicho chema, hapo ungeelewa kuwa sio wa madale tu wanaopaswa kuwafunza watoto" oraiti?
Ningekuelewa ungesema kuwa huoni relation; but declaring with certainty that there is no relation is way off the mark. A rational and unbiased person will see what I am referring to when I say that not everything legal is morally right. A blog (which is in a free domain, with no disclaimer or warning) ought to think about its contents effects on the minors. They are called minors because they have to be guided as they are yet to attain the mental capacity to judge for themselves. And this guidance includes what to see or read.
Someone pointed to the rags published by Shigongo, same thing here. The point is (and I believe that is what the author of this thread meant) something has to be done to protect members from various sections of the public.
ujinga wa mtu ndo starehe yake hebu angalia membership status yake hapo chiniWacha ujinga wewe.
Mkuu mfano uliotoa hauna relation yeyote na hoja yangu
Utafananishaje sigara na blog?
Sigara inasababisha madhara ya kiafya blog ya mange inasababisha nini??
Ile ni media yet ni entertainment media ipo na itaendelea kuwepo wasema inafundisha wadada ukahaba toa mfano??
KUOLEWA na wazungu ndio ukahaba nenda baraza la kiswahili wakufundishe maana ya neno kahaba still bado hakuna mtu wa kunipa strong reason ya kwanini voda waache kudhamini blog ya mange....
Na still nashindwa kuelewa imekuwaje umeweka mfano wa sigara na junk food hapa tunaelewa ni jinsi gani dunia inahangaika kupambana na cancer, obersity, na magonjwa mengine sugu so suala la sigara lina warning lakini still inaendelea kuuzwa
Watanzania inatubidi tuamke hasa kwenye suala zima la mitandao.. And internet business strategy ni najua hata decades mbili hazijafika tokea internet iingie tanzania ila taratibu tutafika tu...
Wacha ujinga wewe.
Mange ni shetani aliyeibukia kwenye mitandao