We are scared - Africans in India say racism is constant!

Kila nchi ina watu wa baguzi,hata hapa tanzania kuna watu wanawaambia watu wa mataifa mengine ambao ni watanzania hapa siyo kwenu,halafu kabla hujaenda nchi ya watu juwa historia yao kwanza,India wenyewe kwa wenyewe wanabaguana kwa matabaka kuna ukoo wa kuzoa mavi tu na kuna wa kuchoma maiti,wanao fua chuma,sonara,wakulima,malaya,na hao ni marufuku kuoana na wengine na huwa wanauliwa wakifanya hivyo, je unashangaa nini wewe mgeni ukibaguliwa,ukienda nchi yenye vita ukapigwa risasi utalalamika nini?,halafu kuhusu nyumba za NHC zilikuwa zao tukawarusha,


Watu kama ninyi Malcom X alikiwa anawaita ,,house niga" yaani maana yake ni kwamba tofauti na field niga wewe house niga unafanya kazi ndani kwa bosi na unalala humo hivyo nyumba ya bosi ikiungua unalia na unasema nyumba yetu inaungua lkn field niga huko shambani nyumba ya bosi ikiungaua anasema wacha iungue...
 
Poleni..if you never know.. Indians are the most socially stupid people on earth. Their way of Moral thinking is simply irrational and foolish to any human being with a normal common sense.
 
Back
Top Bottom