Wanataka yatukute ya kwao mfano Marekani kila mwaka kupitia green card lottery wanaingiza watu elfu 50 nguvu kazi mpyaWatu nao ni rasilimali
Ifikapo hiyo 2050 wazee watupu Nguvu kazi itatoka wapi
Waache upumbavu
Kanada wamejaa wahindi ndio wanazaa wenyeji hakuna uzazi
Ukaya nchi nyingi vikongwe ndio vingi nguvu kazi ya vijana haipo inapungua kila siku ndio maans wanahangaika kutengeneza miroboti ndio iwe mifanyakazi viwandani
Na magari wameanza kutengeneza yasiyo na dereca sababu ya ukosefu wa nguvu kazi